Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Ukatili upi,mpira si una sifa zake na sheria? Au wanaenda kupigana masubwi kiasi cha kuonyeshana ukatili?Umofia kwenu.ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa wasudan kwao ninasema hiv kutokana uzoefu nilikuwa nao nlishwahi ishi miaka miwili pale Sudan kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya simba ashawahi shinda tatu kwa mtungi kwa mkapa akiwafungu ahli shandy ila alienda kufa NNE bin sifuri kule Sudan simba hawakuamini macho .kiufupi safari ya yanga imeshia tayar kwa mkapa.
Umofia kwenu.ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa wasudan kwao ninasema hiv kutokana uzoefu nilikuwa nao nlishwahi ishi miaka miwili pale Sudan kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya simba ashawahi shinda tatu kwa mtungi kwa mkapa akiwafungu ahli shandy ila alienda kufa NNE bin sifuri kule Sudan simba hawakuamini macho.
Kifupi safari ya yanga imeshia tayari kwa mkapa.
Kumbe ni Al Ahly Shandy sio Al HilalUSAHIHI KIDOGO:
U/Taifa
Simba 3-0 Al Ahly Shandy (1st leg)
Wafungaji Haruna Moshi Boban, Mafisango, Okwi
Sudán
FT Shandy 3-0 Simba
Simba akatolewa kwenye mipigo ya penalty 9-8
Akili za MAKOLO wanazijua wao wenyewe na umbumbumbu wao [emoji28]
Ukiwasikiliza mashabiki wa yanga unaweza usiingize timu uwanjaniJuzi siyo keshokutwa mkuu. Yanga wanaweza kwenda kupindua meza kibabe.
Makundi ya panyaroad labdaYanga ni wababe wa shughuli za ugenini, kama hawajawahi kutolewa kwao Sasa ndio wanaenda kutolewa kwao, kama mna ubavu tukutane Makundi.
Tunaomba records za huo ubabe wa ugenini. Au ni ubabe wa mdomo tu?Yanga ni wababe wa shughuli za ugenini, kama hawajawahi kutolewa kwao Sasa ndio wanaenda kutolewa kwao, kama mna ubavu tukutane Makundi.
Rayon Sports, Highlander's, Township Rollers, Al hilal is loading....Tunaomba records za huo ubabe wa ugenini. Au ni ubabe wa mdomo tu?
Usikariri we kilazaUmofia kwenu.
Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya.
Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri kule Sudan. Simba hawakuamini macho yao.
Kifupi safari ya Yanga imeshia tayari kwa Mkapa.