Ni Ngumu Simba Kumtoa Wydad de Casablanca

Mkubwa
Ili ufike nusu fainali inabidi ucheze robo

Ngoja niishie hapa
Maana akili yako unaijua wewe
 
Mbona wapo vizuri wana Beleke, Onyango the wonder kid kumbuka huko benchi yupo Sawadogo.

Ha ha ha ni kweli . Na tarehe 16 wanaenda kutafunwa kabla ya kuliwa tarehe 21
 
Mkuu mleta mada kasema eti hao waydad wameinvest mpaka kwenye game psychology.

Yes hadi Kwenye psychology. Mfano timu ya Raja wao walisema wazi sisi mpira popote tunaleta matokeo. Tunaenda kucheza mpira kutafuta matokeo iwe ugenini au nyumbani.

Walipokuja kwa Mkapa, Simba bado wanaishi kwenye obsolete ideas kuwa kwa mkapa hatoki mtu. Walitandikwa goli za kutosha tu, tena jamaa walikuwa wanacheza kawaida tu bila kukamia au kutumia nguvu.

Mipira yote ya Chama ilikuwa inazuiwa kirahisi sana bila kutumia nguvu. Kuwa na Slogan mara kwa mara bila kuwekeza Kwenye na Scouting ni kupotezea watu muda.

Kama ilivyofanya Raja, Wydad atafanya kitu kilekile. Tena Simba this time inaweza kulowa sana
 
Vipi yanga yupo CAF CHAMPION LEAGUE na Simba mbovu ipo shirikisho acha ushabiki maandazi utopolo ni mbovu

Tarehe 16. Utapata jawabu.

This time kila mchezaji amekamia kuifunga Simba , kwa beki ya Onyango , Mayele atawapiga kama 3. Bado ile mipira ya faulo ile mipira ya Manula Ha Ha
 
Wapumbavu sana hawa kima wa pori la Utopolo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Yanga ya Sasa sio Yanga ya Kipindi kile . Trust the process boss . Achana na mambo ya Resistance to change . Kama bado upo Kwenye Obsolescence hilo ni tatizo. ILA jawabu rasmi la hoja hii utaiona tarehe 16, tunaanza na Wewe.

Kisha utaona Rivers anavotoka kilaini sana

Nyie kazi kuishia Robo fainali kila mwaka. Sisi tunakwenda mbele zaidi
 

Ha ha ..... nani kasema hamna wasiwasi ..... Nasema tena , Kama unawaza kuitoa Wydad Kwenye Robo fainali ...... tambua kuwa una tatizo la afya ya akili

Hata mkifinga goli moja taifa, hamuwezi kuitoa Wydad.

Hamuwezi sababu hamna wachezaji wa kuwavusha hapo.
 
Halafu Yanga anayezungumzwa kwamba kafanya uwekezaji mkubwa na ana kikosi imara Yuko kombe la loosers . Simba mbovu yuko klabu bingwa .

Kweli hii nchi haitaishiwa maajabu.

Trust the process
 
Yanga haipo relative bila kuitaja Simba.....
Only way ya yanga kuzungumzika ni kuitaja na Simba.
Team la wazee halina mvuto tena.
 
Ndio mmeishia hapo . Zone of Comfort
Sasa wewe
Huoni this is competition

Kwa hiyo wewe yanga
Kuishia hatua za mwanzo na wewe ulikua kwenye comfort zone au?

This competition needs experience
Na experience yenyewe ndo tunaipatia humu kwenye kujaribu

Simba nahisi kwa waliofuzu mpaka sahivi ni moja ya timu mbili za chini kwenye rank ya CAF
Na sisi ni wa 9 investment ni ndogo by miles tofauti na wengine
Hata tukatoka robo tena sitolaumu

Maana with failure inakuja mbinu mpya
Nguvu itazidi kuongezwa mpaka tutakapofika nusu fainali
Hakuna mtu asiyetaka kufika nusu fainali

Timu yako isikupe kiburi
Mara ya mwisho simba anashiriki CAFCC naye alifika hapa ulipo
 
Tungoje dakika 90 za dulu ya kwanza hapa Kwa mkapa, ndipo tutapata majibu sahihi.[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Shika maneno yangu mkuu..."siku SIMBA ikiitoa WYDAD ..Yule The Hon. Hayati aliye changanya mchanga wa Tanganyika na Z'bar atafufuka kuchanganya na Mchele wa USANGU na Wa MAGUGU na Mbeya na Manyara itakuwa ni Nchi Moja....niko paleeπŸ“ŒπŸ”¨πŸ˜Ž
 
Mark my words,
Game ya Simba vs Wydad 1-0
Rivers utd vs Yanga 2-1 ,

nimekujibu kwa Fact huu sio utabiri ila ndo matokeo yatakuw hivyo. Game za maludiano nitakuja pia na Matokeo yake
 
Si hamuwezi ninyi ,sio Simba Sc ,tumbaku mbichi ninyi
 
Mark my words,
Game ya Simba vs Wydad 1-0
Rivers utd vs Yanga 2-1 ,

nimekujibu kwa Fact huu sio utabiri ila ndo matokeo yatakuw hivyo. Game za maludiano nitakuja pia na Matokeo yake
Simba V Wydad 0-2
2nd Leg:- Wydad 3-0

Rivers v Yanga 1-1
2nd Leg Yanga 3-1 Rivers...πŸ“ŒπŸ”¨
 

Takataka tupu zimeandikwa hapa
 
Hii ni Motivation words. Huwezi kupanda mahind uvune maarage. Haiwezekani

Simba hawezi kumtoa Wilydad never . Tutarudi hapa

Yanga inaombewa kucheza Super League, kwa hakika Yanga hawana kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…