Ni Ngumu Simba Kumtoa Wydad de Casablanca


Kuna mdau kauliza Yanga kama kawekeza mbona hajaweza hata kuwafunga Vipers? Yanga kama kawekeza yuko namba 9 kwa viwango vya CAF? Yanga kama kawekeza anashiriki Mashindano gani ya CAF?
Yanga ameifunga Mazembe ambyo ni team mbovu msimu huu na kwa mwaka huu team zote za Congo zimeburuza mkia. Je Yanga kama kawekeza anaweza kuifunga Raja? Waydad je? Mtoa mada jibu hayo maswali, usilete porojo!
 
Simba ni timu ya kupongezwa sana.
Ukiangalia katika timu nane zilizoingia champion league Simba ndio timu yenye thamani ndogo zaidi katika uwekezaji.

Namaanisha bajeti ya Simba ni wastani wa Bilion 5 kwa mwaka hali ya kuwa hizo timu nyingine unatumia hadi Bulion 100 kwa mwaka.
Hiyo Alhilal ya Sudani inasajiri mchezaji hadi kwa Bilioni moja na ishatolewa.
Matimu kama Al-Ahly ya Misri mshahara ya mchezaji unafika hadi Billioni 2 kwa mwezi.

Simba hii inayosajiri kwa kuokoteza wachezaji walioachwa na timu zao na wa mikopo inafikia kushindana na vigogo wa uchumi hili sio jambo dogo kabisa.
Timu ya Al-Masri inasajiri mchezaji hadi kwa Billioni mbili na haipo kwenye Champion League.

Hii inaonesha timu ya Simba wachezaji wake wanapambana sana kiasi cha kukaa meza moja na magiant wa uchumi.

Simba IPO Champio League ipo Super Cup. Pongezi nyingi kwao.
 
Safari hii tutawasha moto sio kwenye pitch tu bali uwanja mzima alafu tutarudi kinyume nyume hata kwenye ndege wakati tunaelekea Moroco
 

Attachments

  • images.jpeg
    32.4 KB · Views: 2

Samhani Mjomba , with failure inakuja mbinu mpya, how many times have you failed ?

Takribani 5 years unagomea robo fainali..... kipindi chote hicho hujapata mbinu MPYA .
Failure itakuwa ni mafunzo kama tu utaifanyia kazi hiyo failure , sababu kubwa ya kufail sio mbinu, Bali wachezaji mlio nao ndio uwezo wao umeishia hapo , now you need msajili wachezaji wenye uwezo wa kuwatoa hapo mnapoishia, ndio tunarudi kwa investment na scouting........badala ya kushinda Kwenye mitandao na kulalamika kupata hasara .

Robo fainali ni comform zone yenu , na wenyewe mnaona hayo ndio mafanikio ya juu Kabisa kwenu
 
Tungoje dakika 90 za dulu ya kwanza hapa Kwa mkapa, ndipo tutapata majibu sahihi.[emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Sawa Mkuu ila pia tujiandae kisaikolojia

Mambo ya kwa mkapa hatoki mtu ni obsolete.
 

Umesema ukweli tupu . Haiwezekani ila hawa vijana wanapenda kujisugar coat sna.

Kwa miaka mitano mfululizo Simba amecheza robo fainali tena na timu za kawaida tu , ni lini amevuka hiyo hatua ? Hadi leo tuseme kuwa atamtoa Wydad ! Bingwa mtetezi

Why are ridiculing ourselves like that !?

Simba anakikosi gani cha kumtoa Widady?

Orlando tu timu ya kawaida, na moto
Wa kawasha but hawakuweza.

Ndio maana nasema anaeamini Simba anamtoa Widady hata kwa ndumba basi anatatizo la afya ya akili

Mpira ni mathematics and data

Data zinakataa, hesabu zinakataa
 
Orlando tu timu ya kawaida, na moto
Wa kawasha but hawakuweza.
Orlando Pirates ni timu ya kawaida kwa Al Ahly, Mamelodi na Wydad. Haiwezi kuwa ya kawaida kwa Yanga ambayo hata Manning Rangers ya South Afrika iliwashinda
 
With failure ndio comes mbinu mpya

Hayo maswala ya wachezaji wapya ndio mbinu mpya hizo
Halafu mimi sijainvest popote pale simba
Sijawahi invest kwenye timu
Alieshinda kwenye mitandao ni mmoja Mo dewji
HOnestly as long as anaendelea kuinvest anachoinvest mimi sioni tatizo
Na kwangu mimi i believe muda unavozidi kwenda hata quality ya simba inaongezeka
Ni swala la vitu vikiclick

Halafu mkuu kushinda mtandaoni hakufanyi wewe usifuzu kwenda nusu fainali
Anaweza akakaaa kimya na wasifuzu pia

Alafu basi tu
We were unfortunate mara zote tunaingia quarters tunakutana na team inayocheza final
Kaizer chief
Orlando pirates
Tp mazembe


Kingine..japo huoni progress mimi naona
Mwanzo tulitoka kwa aggregate ya 4_1
Ya pili 4_3
Ya tatu tumetoka kwa penalties😁😁😁😄
Huu ndo muda wetu wanasimba😁😁😁
 

Acha mambo yako Afisa, yaani aggregate ndio progress!!!!!!!
 
Orlando Pirates ni timu ya kawaida kwa Al Ahly, Mamelodi na Wydad. Haiwezi kuwa ya kawaida kwa Yanga ambayo hata Manning Rangers ya South Afrika iliwashinda

Yanga ipi : Kama ni Yanga ya sasa,Mjomba haupo sahihi .
Tunakwenda wote Super League , we will C Nani hamna kitu
 
Vitu vingine havihitaji thread

Umeandika weeeeeee

Futa basi
 
Mimi Naipenda Simba Ndo Timu Yangu lakini Huyu Mwekezaji Mo Anavyodai Kuwa hapati Faida Kwa kuwekeza Simba Ni Bonge la Jipu anatakiwa Aiache Club Kama alivyo ikuta na Itapata Wa kuiendesha Kwa Maslahi ya Wote Sio yeye anadai hapati Faida na Timu haiachii Sidhani ku a mtu anaendesha Biashara ya Hasara Mhindi Mjinga Sanaa huyu
 

Tapeli yule
Muongo muongo
Guys are you sure yule jamaa ni Tajiri kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…