Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Maswali mengine bana, mbu ana receptors ambazo husaidia hayo. Sasa tukianza kuzungumzia odorant receptor mjadala utaharibika. Kama una muda soma hili chapisho, very interesting mtu mwenye malaria (mwenye parasites) mbu hupenda zaidi kuuma yeye sababu ni rahisi hapo, adapation na evolution parasites waweze kuwa propagated kwenye population.
Jibu swali, receptors zitajuaje Hb na Fe content ya damu kabla ya kunyonya damu ?
Hiyo paper uliyoweka hapo ndio kwanza ina cripple idea ya mbu kufuata watu wenye Fe content kubwa. Umebandika paper ambayo hai enhance your argument.