peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Katibu wa ccm tawi analipwa Tsh 5,000 Kwa mwezi!!Moja wapo wa kigezo yawezekana kisiwe rasmi, ili huwe kiongozi lazima uwe na kipato rasmi. Kwa hiyo, nadhani hao uliokutana nao yawezekana wamekutapeli. Sidhani kama Kuna kiongozi wa CCM Nafanya hayo uyasemayo.
Hiki Chama wanachama wake wameshagundua Viongozi wao wako pale kimaslahi. CCM wametengeneza mfumo wa kipuuzi Kweli kweli.Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.
Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi.
Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!!
Je familia zao wanazihudumia vipi?
Kushikilia madaraka ya nchi ndo chanzo cha mapato ya CCM.Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu.