Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Tabia njema, unyenyekevu kwa mmeo, utii,jua nafasi yako kama mwanamke, binafsi mke wangu wakati tunatongozona sikuwahi kuwaza nikishapata ningedumu nae hata week 2 lakini nilibadili gia njiani nikaamua kuoa kabisa baada ya kuona ana hivyo vyote niendelee kuangaika natafuta nini???
 
Ruge huyo alikuwa na Zamaradi...mpaka kaolewa ndo analia hadi makamasi wakati alikuwa kila siku anasema atapeleka barua atapeleka barua. Kwamba alikuwa hajafika umri sahihi? Alikuwa Zama alikuwa hajiheshimu na kumheshimu?

Wanaume wana utayari wao usiotokana na mwanamke kabisa.
 
Timiza wajibu wako na kuwa na Heshima basi.
Kuoa na kutoolewa alipo ndani ya uwezo wako kwanza na ww kwann utake kuolewa na asiyekutaka.
Anayekupenda atakuoa tu bila kujidai ww n mwema sana.
 
Kwangu mimi kama ni binti basi awe kajitunza (bikra) pili mwanamke yoyote smart aliekuwa kwenye ndoa akafiwa na mumewe au kupewa talaka hao ndo wanastahili ndoa kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…