Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,733
Pamoja sana. Kiswahili kubovu kinaleta ukakasi kusoma au kutamka. Ila nina amini kila siku tunajifunza na tuendelee kujifunza.Shukrani mkuu, tuzidi kupekua makabrasha kuona ukweli wenyewe umekaaje kwa sababu hata mimi sipendi matumizi ya kiswahili kibovu.
Sent using Jamii Forums mobile app