Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Wakuu kwema

Moja kwa moja kwenye mada.

Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?

Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?

Karibuni kwa ushauri

am better here
Hujapata majibu bado ?
 
Kuna co-worker wa kiume miaka 38 aliniambia ukiwa mtu mzima huwezi kumuacha mwanamke kisa ame cheat
Yupo sahihi hasa kwenye ndoa.... ila hamuwezi kuwa na amani tena kama ilivyokuwa mwanzo.

Wanawake wanaweza kusamehe kwenye usaliti na wakasahau ila sisi halitoki...hadi utakufa nalo....
 
Yupo sahihi hasa kwenye ndoa.... ila hamuwezi kuwa na amani tena kama ilivyokuwa mwanzo.

Wanawake wanaweza kusamehe kwenye usaliti na wakasahau ila sisi halitoki...hadi utakufa nalo....
Ndio maana wanaume wanakufa mapema
 
kitu kikubwa mwanaume anachokiangalia kwny kusaka mke sio heshima na utiifu peke yake , Maana hizo Sifa hata Malaya ukimpa pesa atakuheshimu na kukutii, , MWANAUME anaangalia mwanamke ataweza kuitengeneza future yake, mwanamke atakaekua msaada wa kukamilisha ndoto zake ...na ndio maana halisi ya mwanamke kuwa msaidizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee utakuja kulia... Mwanamke kushape ati future.!!?? Acha jtani future unashape wewe mwenyewe usaidizi wa mwanamke ukaja sehwmu moja tuu nayo ni kugegedana na kukusaidia wewe kuendeleza ukoo.
 
Back
Top Bottom