Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ndiyo.Umeoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo.Umeoa?
Hii nakuunga mkono kwa asilimia kubwa! Nilikuwa na binti (mpenzi)niliemuonyesha upendo wooote (namaanisha wooote), na alikuwepo pia binti mwingine (rafiki tu) ambae nilifahamiana nae kutoka na shughuli za kazi zangu kunifanya kukutana nae Mara kwa Mara maeneo jirani na kijiweni kwake. Huyo aliekuwa mpenzi wangu kiukweli sijui niseme alikuwa ameshajiaminisha kwamba anapendwa sababu ya jinsi nilivyokuwa namuonyesha mapenzi yangu kwake, akawa ni kama hana haraka na mimi. Huyu mwingine rafiki nilikuja kumfahamu vzr hata ilifikia akanionyesha mshkaji wake.Msifosi ndoa wala kuonyesha uchu na ndoa. Maswali ya una malengo gani na mimi kila uchwao mara twende kwa ndugu zangu wakujue, kama hajakitambulisha kwa ndugu zake na hamjawa ktk mahusiano zaidi ya mwaka, usifosi, kuomba omba hela kila uchao na kuwa na marafiki mnaowaita just friends wa kiume vitakusubirisha sana kuolewa.
Mwanaume akikuona unafaa kuoa bila kumlazimisha utaona dalili. Waweza muuliza mara chache mipango yake nawe ila isiwe kama ndio swali la kila wiki.
Jaribu kuwa na mawazo mazuri ya kumshauri kujijenga na pia uwe kama rafiki yake ambaye ni mkweli. Usifeki!
Pia kujifanya kidume kwa kujifanya una kisauti mbele yake itakugharim, mheshimu ila kuwa mkweli na tambua kuwa yeye ndiye mwanaume. Kuwa mwanamke wa kiafrika, usikifanye eti ooooh sijui usawa nk...
Ila kuwa smart pia.
Sawa mkuu lol umetapika yote...[emoji16]Pole sana, Shida nipale unapojaribu kufit mahali ambapo sio pako.
Kitu kama sio chako, utazaaa sana , utampa mpaka Tgo , utamlamba weee...... utabadilika Kumfaa, utafanyaaa nn sijui ..lkn Holaaaa
HATOKAA KUA WAKO......Ndoa nisuala linalokuja lenyewe
Kunywa maji, relax, kilicho chako nichako tu wala hakiitaji sababu ya kukifanya kiwe chako.
Mpende mkeo sanasanaNdiyo.
Hii kitu ya kucheat huwa inawagharimu sana wasichana wa kizazi hiki. Wanaume wengi tunapokubaini tu umecheat biashara huwa imeisha hapo. Hata wale waliopo kwenye ndoa moja ya sababu kuu ya watu kuachana huwa ni hii.Mimi ukiniheshimu na kutokuonyesha dalili yoyote ya kucheat...umeniweza.
Nakazia hapo hapoHuwezi pata jibu moja sababu kila mtu ana vigezo vyake vya mke anayemtaka.
Ila wanaume wengi na mimi nikiwemo tubapenda mwanamke mtiifu na mnyenyekevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikoni mkuu.Mpende mkeo sanasana
Nadhani kwetu hiki kitu kipo damuni....hata ukionyesha dalili basi tena.Hii kitu ya kucheat huwa inawagharimu sana wasichana wa kizazi hiki. Wanaume wengi tunapokubaini tu umecheat biashara huwa imeisha hapo. Hata wale waliopo kwenye ndoa moja ya sababu kuu ya watu kuachana huwa ni hii.
Huwezi pata jibu moja sababu kila mtu ana vigezo vyake vya mke anayemtaka.
Ila wanaume wengi na mimi nikiwemo tubapenda mwanamke mtiifu na mnyenyekevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
umeshaoa?Huwa kuna Chemistry fulan hivi ambayo haielezeki kwa Maneno, ila sisi Wanaume huwa tukimuona tu mwanamke unaona kabisa huyu anastahili kuwa mke.
mzee umeshaoa?umeeleza vizuri sanaNakazia hapo hapo
Lakini pia kuna kitu hurka.Kuna wanaume wao kutulia na mwanamke mmoja hawezi.yan inshort haamini katika mapenzi ya kuheshimu mahusiano,huyu kuweka mitazamo ya kuoa ni nadra sana hivyo hata ubadili dini,jinsia,macho mpaka ngozi hawezi kukuona kwa malengo ya pamoja mpaka pake atakapoona yeye hapa nahitaji kuwa na mtu wa kunipikia na kunifulia(namaanisha haoi kwasababu anahitaji mke).hivyo wakati tunaangalia vitu vinavyoweza kufanya mwanaume amuoe mwanamke tusisahau pia hii aina ya watu.
Hivyo basi kwa mwanamke yeyote,kujitengenezea mazingira ya kuolewa kwanza
1-jiheshimu.kuanzia mavazi mpaka namna unavyosocialize na watu
2- muheshimu na kumsikiliza mtu mlienae kwenye mahusiano na ikibidi jishushe panapobidi hata kama amekosea na baadae muelekeze kwa utaratibu.
3-usiombe ombe hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787].imenibidi nicheke,aisee usipende kuomba omba hela mwache akupe yeye mwenyewe.Sisi wanaume wa ajabu sana,yan buku ya kuombwa inauma kuliko 10,000 ya kutoa kwa hiyari yetu wenyewe.
4-kuwa na malengo(mitazamo ya kimaendeleo).Sometym tunahitaji mwanamke ambae atatupa maono.sio unabadili dini alafu mawazo yako yapo kwenye starehe bila kuwa na mawazo ya kuendelea kimaisha.
5-Fanya uwezavyo kuvumilia kila jambo hata kama linakuumiza vipi kikubwa umempenda.(ingawa hii ni risk pia) ila baadhi yetu tunawaona wasichana wavumilivu kama hakunaga wengine kama wao hivyo tunasema "sitopata mwanamke mvumilivu kama huyu"
6-jitahidi uwezavyo usije ukacheat hata nusu(mara moja kubwa sana) kama mim binafsi hata nikupende vipi,ukishanicheat na nikakusamehe yan hapo wew utakuwa wa show tu ila kuoa hapana ushakosa sifa bora nikukute na mtoto lakin sio ucheat ukiwa upo na mimi "kwangu ni tusi kubwaaaa mno"..
NB...Haya nimeandika kwa utashi wangu na uzoefu kwa watu wangu wa karibu hivyo vibebe utakavyoona vinafaa
umekaa naye muda gani? changamoto gani unazipitia katika kuishi naye?Hii nakuunga mkono kwa asilimia kubwa! Nilikuwa na binti (mpenzi)niliemuonyesha upendo wooote (namaanisha wooote), na alikuwepo pia binti mwingine (rafiki tu) ambae nilifahamiana nae kutoka na shughuli za kazi zangu kunifanya kukutana nae Mara kwa Mara maeneo jirani na kijiweni kwake. Huyo aliekuwa mpenzi wangu kiukweli sijui niseme alikuwa ameshajiaminisha kwamba anapendwa sababu ya jinsi nilivyokuwa namuonyesha mapenzi yangu kwake, akawa ni kama hana haraka na mimi. Huyu mwingine rafiki nilikuja kumfahamu vzr hata ilifikia akanionyesha mshkaji wake.
Aisee huwezi amini yule binti (rafiki) alikuwa na almost sifa zote ulizozitaja, ni ana heshima, mstaarabu, anajali, anamjua Mungu,hana Mambo mengi Yale ya kisistaduu,na mengine mengi tofauti Sana na mpenzi wangu mpaka nikawa natamani utokee muujiza mpenzi wangu akatoe kopi ya sifa za yule binti rafiki yangu.
Siku hatimaye miaka ikapita Mimi nikiwa tayari kuingia kwenye ndoa lakini mpenzi wangu huyu niliempenda hakuwa bado tayari, bado alikuwa na Mambo yake mengi kila nikiingiza hizo mada nakutana na sababu lukuki. Mungu huyu ni wa ajabu, ikiwa imepita takribani miezi ya kutosha sijaonana na yule binti rafiki yangu ikatokea nikaonana nae town tu nipo misele. Tukasalimiana na kupeana mawasiliano kila mmoja akashika njia na mishe zake kwa miadi tutawasiliana badae. Kweli alianza yeye kunicheki then mawasiliano yakaendelea,tukapanga kuonana somewhere kupiga story. Tuliongea mengi ambapo alinipa updates za relationship yake na kuniambia ilikuwa i.c.u na pengine mortuary kabisa.
Sikuwahi kabisa kumfikiria kimahusiano lakini kwa jinsi ninavyomfahamu sifa zake nkajikuta naingiwa pepo la kuwa nae ikizingatiwa yeye pia alikuwa tayari kuingia kwenye ndoa na alikuwa tayari kuishi na Mimi na Hilo alilitamani kitambo tu ni kwa vile alikuwa tayari kwenye relationship.
Hadi leo ninavyotoa story hii ni yeye ndiye mama watoto wangu na tunaishi happy life coz tulikutana wote tuko tayari na nafikiri tulikuwa tunapendana
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unatujibia mkuuMi nadhani kwanza ni
Utayari wa mwanaume mwenyewe kuingia katika ndoa, je yuko tayari kuanza kuwa na familia,kamaliza ujana?
Pili ni uniqueness ya huyo mwanamke je ana sifa zinazompendeza mfano heshima,caring, upeo wake kiakili(anaweza kumsapoti mumewe hata kwa mawazo chanya tu)