Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoonesha furaha za nje wapo wengi sana
Ila ndani kunawaka moto
Hainaga formula ni bahati tu.Wakuu kwema!!
Moja kwa moja kwenye mada....
Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?
Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?
Karibuni kwa ushauri
am better here
Hili la msingi pia usifake tabia kuwa wewe Kama wewe . Mwanaume ajue ana mwanamke wa aina gani na mwenye tabia zipi hata akifanya maamuzi ya ndoa anajua kasoro zako na uzuri wakoWatakuwa na furaha tu and they don't fake kujuana mda mfupi au mrefu doesn't guarantee long relationship
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha unajiwahi
Eeh..!!Tukiachana nao.
Unaonaje mimi na wewe tukianzisha familia yetu
Hili la msingi pia usifake tabia kuwa wewe Kama wewe . Mwanaume ajue ana mwanamke wa aina gani na mwenye tabia zipi hata akifanya maamuzi ya ndoa anajua kasoro zako na uzuri wako
Pole sana, Shida nipale unapojaribu kufit mahali ambapo sio pako.Wakuu kwema!!
Moja kwa moja kwenye mada....
Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?
Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?
Karibuni kwa ushauri
am better here
Ninong'oneze jibu my dear.Ningekua mwanaume ningetoa sababu kwann ila kwakua ni mwanamke sina jibu cuz sioi
Ww sikunong'onezi nitakuambiaNinong'oneze jibu my dear.
Nasubiria na kuaminia.Ww sikunong'onezi nitakuambia
Ningekua mwanaume ningetoa sababu kwann ila kwakua ni mwanamke sina jibu cuz sioi
Maisha yanakuwepo..Nina watu nawafahamu ..mkaka alikaa na mwanamke for 6years akaja muoa aliyekutana nae miezi minne..na wana watoto watatu Sasa .sijui ndani wanaishi vipi ila nje wako na furaha kinyama na mdada anamimba ya nne sasa.
Umeoa?Mimi ukiniheshimu na kutokuonyesha dalili yoyote ya kucheat...umeniweza.