barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Msifosi ndoa wala kuonyesha uchu na ndoa. Maswali ya una malengo gani na mimi kila uchwao mara twende kwa ndugu zangu wakujue, kama hajakitambulisha kwa ndugu zake na hamjawa ktk mahusiano zaidi ya mwaka, usifosi, kuomba omba hela kila uchao na kuwa na marafiki mnaowaita just friends wa kiume vitakusubirisha sana kuolewa.
Mwanaume akikuona unafaa kuoa bila kumlazimisha utaona dalili. Waweza muuliza mara chache mipango yake nawe ila isiwe kama ndio swali la kila wiki.
Jaribu kuwa na mawazo mazuri ya kumshauri kujijenga na pia uwe kama rafiki yake ambaye ni mkweli. Usifeki!
Pia kujifanya kidume kwa kujifanya una kisauti mbele yake itakugharim, mheshimu ila kuwa mkweli na tambua kuwa yeye ndiye mwanaume. Kuwa mwanamke wa kiafrika, usikifanye eti ooooh sijui usawa nk...
Ila kuwa smart pia.