Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
usiombe hela atakuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha... nataka kujua matokeo yako yalikuaje? Aliyekuchagua alikuweza?
kwani anaolewa na mawifi?Mpende mama yake mzazi au wadogo zake na pia Kama unawifi wapende pia halafu ulete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo. Kama umefanikiwa kuitimiza na bado hakuna ndoa jua hupendwi yani uko nae tu kwa sababu hakuna namna.Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa,,,,
Wakuu kwema!!
Moja kwa moja kwenye mada....
Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa,,,,je? Ni nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa,,,maana wengine wanabadiri hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi,,,ata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine.... Au ndoa ni fate? ,,,karibuni kwa ushauri
am better here
Mimi ukiniheshimu na kutokuonyesha dalili yoyote ya kucheat...umeniweza.
Ukiniheshimu na kutokuonyesha dalili za kucheat.Mkuu unamaanisha heshima kwako ni kutokukucheat basi?
Hakuna kitu kama hicho na unaweza wapenda wote hao na ukatoswa vile vile, mfano hujanioa huko kwenu nitaenda vipi kila siku mpaka wanijue kabisa au ndiyo ndoa za siku hizi? Hakuna wanafiki kama ndugu wa mmeMpende mama yake mzazi au wadogo zake na pia Kama unawifi wapende pia halafu ulete mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala si uongo wapo ambao hujipeleka mpaka ukweni ,lakini ng'oo hakuna kitu ndoa unaisikia tu MwaitegeYeye mwenyewe hadi aamue kukupa hiyo heshima.....sababu zinatofautiana na mtu na mtu. Kama hataki kukuoa hata uwe wife material kivipi hakuoi ng'o. Kwenye suala la kuoa mwanaume ndio mwenye maamuzi.
Ila sasa mtu asikae kusubiri maamuzi ya mwanaume maana anaweza akaamua asikuchague wewe ukawa umepoteza vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi mpaka leo hujaoa tu ?Mimi ukiniheshimu na kutokuonyesha dalili yoyote ya kucheat...umeniweza.
Hahaha....una dada mkuu? Tupasieni
Haisee karibu MaranguHahaha....una dada mkuu? Tupasieni
Oouh...mimi baba mkuu...hizi rasha rasha tu za JF....Haisee karibu Marangu
Manka mdogo wetu tunamalizia ada pale SAUT atakufaa
Sent using Jamii Forums mobile app