Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Nakazia hapo hapo

Lakini pia kuna kitu hurka.Kuna wanaume wao kutulia na mwanamke mmoja hawezi.yan inshort haamini katika mapenzi ya kuheshimu mahusiano,huyu kuweka mitazamo ya kuoa ni nadra sana hivyo hata ubadili dini,jinsia,macho mpaka ngozi hawezi kukuona kwa malengo ya pamoja mpaka pake atakapoona yeye hapa nahitaji kuwa na mtu wa kunipikia na kunifulia(namaanisha haoi kwasababu anahitaji mke).hivyo wakati tunaangalia vitu vinavyoweza kufanya mwanaume amuoe mwanamke tusisahau pia hii aina ya watu.

Hivyo basi kwa mwanamke yeyote,kujitengenezea mazingira ya kuolewa kwanza

1-jiheshimu.kuanzia mavazi mpaka namna unavyosocialize na watu
2- muheshimu na kumsikiliza mtu mlienae kwenye mahusiano na ikibidi jishushe panapobidi hata kama amekosea na baadae muelekeze kwa utaratibu.
3-usiombe ombe hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787].imenibidi nicheke,aisee usipende kuomba omba hela mwache akupe yeye mwenyewe.Sisi wanaume wa ajabu sana,yan buku ya kuombwa inauma kuliko 10,000 ya kutoa kwa hiyari yetu wenyewe.
4-kuwa na malengo(mitazamo ya kimaendeleo).Sometym tunahitaji mwanamke ambae atatupa maono.sio unabadili dini alafu mawazo yako yapo kwenye starehe bila kuwa na mawazo ya kuendelea kimaisha.
5-Fanya uwezavyo kuvumilia kila jambo hata kama linakuumiza vipi kikubwa umempenda.(ingawa hii ni risk pia) ila baadhi yetu tunawaona wasichana wavumilivu kama hakunaga wengine kama wao hivyo tunasema "sitopata mwanamke mvumilivu kama huyu"
6-jitahidi uwezavyo usije ukacheat hata nusu(mara moja kubwa sana) kama mim binafsi hata nikupende vipi,ukishanicheat na nikakusamehe yan hapo wew utakuwa wa show tu ila kuoa hapana ushakosa sifa bora nikukute na mtoto lakin sio ucheat ukiwa upo na mimi "kwangu ni tusi kubwaaaa mno"..

NB...Haya nimeandika kwa utashi wangu na uzoefu kwa watu wangu wa karibu hivyo vibebe utakavyoona vinafaa
Sikupingi mkuu mm nanukuu maneno yako konki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ya kucheat huwa inawagharimu sana wasichana wa kizazi hiki. Wanaume wengi tunapokubaini tu umecheat biashara huwa imeisha hapo. Hata wale waliopo kwenye ndoa moja ya sababu kuu ya watu kuachana huwa ni hii.
Wanasema mwanaume aliyekomaa anaweza kumvumilia mwanamke anaye cheat
 
Back
Top Bottom