Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sina neno mieSema neno tu mpenz na Pm yako itapata ugeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina neno mieSema neno tu mpenz na Pm yako itapata ugeni
Samahani ninaomba unifafanulie ipi sahihi kati ya uhitaji, huitaji na huhitaji.Mwanamke huhitaji upendo.
Mwanamme huhitaji utii.
Uhitaji ni nimino [Nomino ya dhahani]Samahani ninaomba unifafanulie ipi sahihi kati ya uhitaji, huitaji na huhitaji.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Hongera sanMimi mwaminifu kama mtoto mchanga
Mwanaume mkomavu ndio anaweza kuvumilia/kusamehe pale anapobaini amechapiwa, ila maumivu ya hasira za hilo tukio huwa halifutiki moyoni. Na hupelekea thamani ya mke kupungua. Na wengi wao wanaovumiliwa huwa ni wale wanawake wenye watoto, Japokuwa kuna wengine wanapigwa vibuti hivyovyo na wanaenda kuwa singo mother.Wanasema mwanaume aliyekomaa anaweza kumvumilia mwanamke anaye cheat
Shukrani Stephen. Hayo maneno mawili: huhitaji na huitaji hayapo kwenye Kiswahili. Neno fasaha ni uhitaji. Nimekuwekea na screen shot hapo chini. ShukraniUhitaji ni nimino [Nomino ya dhahani]
Huitaji - hili neno halipo kwenye kiswahili
Huhitaji - Ni kutenzi
Shukani mkuu.Shukrani Stephen. Hayo maneno mawili: huhitaji na huitaji hayapo kwenye Kiswahili. Neno fasaha ni uhitaji. Nimekuwekea na screen shot hapo chini. Shukrani View attachment 1412641View attachment 1412642
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nikutwike lipete la ndoa, hafu nikurete kwetu Majita.Mambo ni mengii kuliko mambo yenyewe,.
Nini tafsiri ya kusamehe kama nabaki na kinyongo moyoni ?Mwanaume mkomavu ndio anaweza kuvumilia/kusamehe pale anapobaini amechapiwa, ila maumivu ya hasira za hilo tukio huwa halifutiki moyoni. Na hupelekea thamani ya mke kupungua. Na wengi wao wanaovumiliwa huwa ni wale wanawake wenye watoto, Japokuwa kuna wengine wanapigwa vibuti hivyovyo na wanaenda kuwa singo mother.
NashukuruTuendelee kwa ufafanuzi. Ila tuendelee kujifunza. Mzizi wa neno ni Hitaji ambalo ni kitenzi elekezi linakuwa na minyumbuliko yake. Neno sasa pale ni uhitaji. Kiambishi ni u na sio hu. Hata ukitumia google neno huhitaji huwezi kulipata. Hata kulitamka lina ukakasi. Wakati mwingine maneno yanatumika kimakosa ila kwa kuwa linatumika isiwe sababu ya kuhalalisha na kuendelea kurudia makosa yaleyale. Angalia humu JF namna watu wanaandika kiswahili cha hovyo kabisa. Walimu wa siku hizi sijui wanafundishaje hii lugha. Kama kwa kumaanisha kinyume chake lakini pia imekaa kimakosa. Mathalani kusema huhitaji sio sawa ila ni hau-hitaji, hamu-hitaji, hatu-hitaji, tuna-hitaji.Shukani mkuu.
Mimi sio mtaalam wa kiswahili ila nimeona hapo kwenye screenshot ume'search neno 'huhitaji' kama lilivyo, na kwa kufanya hivyo huwezi kupata maana. Ni sawa na kuchukua kamusi na kutafuta neno 'anacheza', hutoliona.
Neno 'huhitaji' tayari lina kiambishi awali 'hu-' ambacho ambacho kukaa kabla ya mzizi wa neno (wa kitenzi) kuonyesha hali ya ukawaida au kuzoeleza kufanyika hivyo. Mifano mingine ni kama hukimbia, husema, hujificha nk.
Kwa mfano tukisema 'Mama mjamzito hujifungua baada ya miezi tisa', tunaonyesha kuwa na jambo lililozoeleka/ la kawaida mama mjamzito kujifungua baada ya miezi tisa.
Hivi ni kwa mujibu wa uelewa wangu kutokana na nilivyofundishwa kipindi hicho, ila nitajaribu kurejea nione kama niko sahihi ama nimepuyanga.
Shukrani mkuu, tuzidi kupekua makabrasha kuona ukweli wenyewe umekaaje kwa sababu hata mimi sipendi matumizi ya kiswahili kibovu.NashukuruTuendelee kwa ufafanuzi. Ila tuendelee kujifunza. Mzizi wa neno ni Hitaji ambalo ni kitenzi elekezi linakuwa na minyumbuliko yake. Neno sasa pale ni uhitaji. Kiambishi ni u na sio hu. Hata ukitumia google neno huhitaji huwezi kulipata. Hata kulitamka lina ukakasi. Wakati mwingine maneno yanatumika kimakosa ila kwa kuwa linatumika isiwe sababu ya kuhalalisha na kuendelea kurudia makosa yaleyale. Angalia humu JF namna watu wanaandika kiswahili cha hovyo kabisa. Walimu wa siku hizi sijui wanafundishaje hii lugha. Kama kwa kumaanisha kinyume chake lakini pia imekaa kimakosa. Mathalani kusema huhitaji sio sawa ila ni hau-hitaji, hamu-hitaji, hatu-hitaji, tuna-hitaji.
Ni kama vile kiswahili cha Tanga. Wanafupisha sana maneno. Mfano: naja, namiambieni, mie, waniita, n.k.
View attachment 1413430
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake mna vitu vingi sana mnapretend..Kwaio mwanaume ukimtii tu basi mbona unaweza mtii na asikuweke ndani vilevile....
am better here