Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Wakuu; kuna hoja mnasema " Awe mwenye maono/ mshauri mzuri)
Hapo pa kumshauri mtoto wa mama mkwe hio fursa inatokea kwa kushirikishwa na yeye mwenyewe? au unaingilia tu uhuru wa maisha/maendeleo yake unaanza kumshauri?

Muongozo tafadhali, maana unaweza mpa mtu uhuru wa kutoingilia mambo yake kumbe ndio unakosa sifa..
 
Msikilize bwana wako kwa makini, ukijua yeye ni kichwa cha nyumba utapata jibu.
 
Wanawake mna vitu vingi sana mnapretend..

Wangi hamko really.
Ukitaka yote hayo jikague kama wewe mwenyewe unayo au ni mme bora, si kutafuta mke mwenye sifa hizo ikiwa wewe mwenyewe hata moja haikai, na hizo tabia kama za mama yupi! Kwani kina mama wote wanatabia njema? Ujue na Baba zetu nao walikuwa na yao.
 
Live long Laiboni...(nimekupandisha cheo toka lile jina nililoshindwa litamka...laigunian sijui nimepatia aahahah).

Na kila mwanaune ajitwike kichwani mke wake muda wote bila kuchoka, ili asijemtua au kumuweka pembeni akajikuta anasaidiwa na mwanaume

Nimekuelewa sana,inabid umchague mwanamke utakeyeweza kummudu na ambaye umemridhia
 
Pole kwa yote yaliyokusibu lkn tambua neno moja upendo hauhitaji kubustiwa na chchote uache ubakie kuwa ni wa asili don't force.
 
Sawa, vichwa vingine lazima vishikiwe shingo,ila usiitikishe hiyo shingo na kuelekeza kichwa sehemu mbaya.
 
Wakuu; kuna hoja mnasema " Awe mwenye maono/ mshauri mzuri)
Hapo pa kumshauri mtoto wa mama mkwe hio fursa inatokea kwa kushirikishwa na yeye mwenyewe? au unaingilia tu uhuru wa maisha/maendeleo yake unaanza kumshauri?

Muongozo tafadhali, maana unaweza mpa mtu uhuru wa kutoingilia mambo yake kumbe ndio unakosa sifa..
Zaidi ni kwenye kushirikishwa japo muda mwingine automatically bila kushirikishwa kutegemea na mazingira ama mtu wako alivo

Kuna wengine vichwa moto hawashauriki
 
Wakuu kwema

Moja kwa moja kwenye mada.

Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?

Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?

Karibuni kwa ushauri

am better here
Siri moja, usifungue chupi mwambie hadi muoane, hapo utajua uko na muoaji au muonjaji
 
Zaidi ni kwenye kushirikishwa japo muda mwingine automatically bila kushirikishwa kutegemea na mazingira ama mtu wako alivo

Kuna wengine vichwa moto hawashauriki
Nimewahi kumshauri mtu ila nikawa kama naingilia uhuru wake, Maisha bwana yako tofauti sana
Kikubwa nu kuendana na mtu na kukubaliana.
 
Dada,

Hapa utapewa kila jibu sijui utii, heshima, uaminifu and all. Si kwamba ni vya uongo ila naamini na wewe unajua kuwa unaweza ukawa na hivi vyote na usiolewe vile vile.

Jibu ni hili:
Unadhani huko kufeel utayari wa kutaka kuoa unatoka wapi?? Usiongee mambo usiyoyafahamu! Hakuna Mwanaume mjinga ambaye atakutana na mwanamke sahihi akiwa katika umri na wakati sahihi alafu aendeleze uplayer! Hata kama hakuwa na plan hiyo ila akikutana na mwanamke anayemheshimu na kujiheshimu mwenye hofu ya Mungu Mwaminifu anayemsaidia katika harakati za maisha ni vichocheo tosha kumfanya mwanaume yeyote aanze kuja kwenye line.
 
Back
Top Bottom