Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
Tukija kwako tukakuta unamlawiti mwanao na kukukemea tutakuwa tunachuki na wewe?Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama TEC wangekuwa hawajawahi kumsema na kumkosoa Magufuli mkristo na mkatoliki mwenzao basi at least ungekuwa na hoja.
Ila kwa kuwa TEC walimsema sana na kumkosoa Magufuli akiwa mkristo na mkatoliki mwenzao hoja yako inakosa mashiko.
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
Kubaini kuna chuki au hapana no lazima kujadili hoja zinazotolewa na pande zote;Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
Takwimu haziwezi kuwa hivi halafu useme hakuna kitu/chuki,utakua mpuuziKubaini kuna chuki au hapana no lazima kujadili hoja zinazotolewa na pande zote;
1. Viongozi wa TEC wanasema
tatizo lililopo ni nini?
2. Majibu ya serikali kuhusu tatizo hilo ni yapi?
Linganisha uone ni upande upi wenye hoja zenye akili ya kawaida, weledi na mantiki.
Pande zote zinatakiwa kuchuja yale mazuri yafanyiwe kazi kwa mustakabali mwema wa taifa.
Serikali ya Tanzania haina dini na taifa la lina dini nyingi tofauti.
Viongozi wa TEC hawazai. Hawajali na hawana Cha kupoteza hata kama mkiunguza nchi.Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.
π πππ This is very petty point. Yaani unahoja za kitoto na zisizo na mashiko kabisa.Chuki wanazo, ambazo zilipandikizwa kumwagiliwa na kuwekewa mbolea na uzao wa kwanza,vizazi vilivyofuata hasa wasomi Wana chuki kweli kweli
Maofisini, vyuoni wako sensitive na dini ya mtu
Chuki tu!
Lakini pili huwa ni kumchekecha na kumtisha kiongozi wa kiislam asiwabane kwenye maslahi
Mwinyi walimsakama, halafu waka-propose MoU, mwinyi kwa hofu akawapa 1992
Maana akiwa wa kwao hapo juu ni amri tu,mtu anayekusamehe dhambi sharti umuheshimu umsikilize, ndiyo unaweza kuta Kuwait fund walitoa hela kujenga barabara kusini,wakikaa wakajadili wataona huko ni kuendeleza waislam,hela zinapelekwa mwanza kujenga hospital ya kanisa
Utakuta wanaamua kutoendeleza zao la korosho,sababu zao Hilo lipo mikoa ya waislam hivyo utaendeleza waislam,ukute haya hujadiliwa ikulu wakiwemo wavaa magauni walevi, maana ikisemwa walikua na ofisi humo kabla jakaya hajawafurusha na kumchukia hadi kesho
Sawaπ πππ This is very petty point. Yaani unahoja za kitoto na zisizo na mashiko kabisa.
Bora mleta mada unaweza ukamsoma na kujua ana akili ila ameamua tuu kijitoa ufahamu sababu ya uchawa.
Ila wewe akili huna na hoja huna. Kiufupi ni chawa zero brain kabisa.
πKwa hoja hizi kwanini waIslamu wanakuja moja kwa moja kuwataja Wakristo waKatoriki wakati hoja za TEC zimeelekezwa kwa serikali na siyo viongozi wa Taasisi ya kiIslamu? Na wala haijaelekezwa kwa viongozi wa serikali wa kiIslamu sababu serikali ni Taasisi kubwa iliyoundwa na watu wa dini mbalimbali. Hawa jamaa wangejikita kujibu hoja kwa mlengo wa hoja zenyewe na siyo kuhusisha dhana ya Udini kwenye hoja zao.Wewe ni mmbulu fala kuliko wote, jifunze kwa dokta slaa. Tukirudi kwenye mada viongozi wa TEC wanachuki na maovu, huwa hawachagui utawala Magufuli mwenyewe walimnyoosha alivyokuwa anaua watu kibiti, pia Lissu kupigwa risasi Dodoma na TEC iliongea, tofauti na masheikh wetu TEC wenyewe huwa hawataji ukristu wala uislam kwenye hoja zao nadhani hii pia, inachangiwa na ukweli kwamba baraza limeundwa na madokta wengi wadarasani sio wa heshima.
Hoja za TEC ni hizi:
1. Mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali dini, itikadi za kisiasa, wala ukanda hamna aliokiri wanataka maridhiano bila kukiri. Ukweli kwamba waliouawa wengi walifuatwa majumbani kwao hawakuwa waandamanaji. Hili swala tusilichukulie juu juu, hii inaweza kumtokea mtu yeyote hata mimi au wewe isipokuwa viongozi, ambao huwa wanapeana taarifa wakajifiche hotelini.
2. Utawala wa sheria: mtu anatibiwa kwanza kama kapigwa risasi kisha sheria ifate baada ya matibabu sio kuwapeleka mochuari moja kwa moja majeruhi.
3. Msamaha wa kodi unaopata katoliki: Kaelezea ulianza kipindi Tanganyika inapata uhuru, Katoliki ilikuwa na mashule na hospitali nyingi kuliko serikali ndio wakaandikishana kupata msamaha wa kodi kwa sababu inasaidia majukumu ya serikali haijaanza leo.