Wewe ni mmbulu fala kuliko wote, jifunze kwa dokta slaa. Tukirudi kwenye mada viongozi wa TEC wanachuki na maovu, huwa hawachagui utawala Magufuli mwenyewe walimnyoosha alivyokuwa anaua watu kibiti, pia Lissu kupigwa risasi Dodoma na TEC iliongea, tofauti na masheikh wetu TEC wenyewe huwa hawataji ukristu wala uislam kwenye hoja zao nadhani hii pia, inachangiwa na ukweli kwamba baraza limeundwa na madokta wengi wadarasani sio wa heshima.
Hoja za TEC ni hizi:
1. Mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali dini, itikadi za kisiasa, wala ukanda hamna aliokiri wanataka maridhiano bila kukiri. Ukweli kwamba waliouawa wengi walifuatwa majumbani kwao hawakuwa waandamanaji. Hili swala tusilichukulie juu juu, hii inaweza kumtokea mtu yeyote hata mimi au wewe isipokuwa viongozi, ambao huwa wanapeana taarifa wakajifiche hotelini.
2. Utawala wa sheria: mtu anatibiwa kwanza kama kapigwa risasi kisha sheria ifate baada ya matibabu sio kuwapeleka mochuari moja kwa moja majeruhi, wasijichunguze wanaoshutumiwa na mauaji.
3. Msamaha wa kodi unaopata katoliki: Kaelezea ulianza kipindi Tanganyika inapata uhuru, Katoliki ilikuwa na mashule na hospitali nyingi kuliko serikali ndio wakaandikishana kupata msamaha wa kodi kwa sababu inasaidia majukumu ya serikali haijaanza leo, hamna hela kanisa linapata kutoka serikalini.