Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

TEC kumtetea yule mwanajeshi Mohamedi Kibao baada ya kutekwa na kuuawa na polisi watekaji ni kuuchukia uislam?
 
Shida yao ni kutengeneza mpasuko wa udini and these are directives straight from the hierarchy, hii ndiyo maana hao mashehe ubwabwa hawawezi kuijibu shura ya maimamu(taasisi ya sheikh Ponda na wenzake) kwani maelekezo ni kuwashambulia Wakatoliki(wanadhani wao ni wapumbavu kama wao kwamba watawajibu ili patokee vita vya kurushiana maneno). Mashehe hawa wanaosema watashambulia watu kwa mapanga na kuwakata vichwa ndiyo viongozi wa kiimani?
 

Udini tu ndio unaowasumbua pamoja na chuki binafsi kwa Rais wetu Mpendwa.

Yule Shekh mpaka leo nikimkutaga pale kijiwe cha kahawa kariakoo huwa siamini kama ni yeye alitoa zile kauli za uchochezi wa mauaji na hamna aliemchukulia hatua, angeyasema Kitima haye asingekuwa uraiani sahz na wangeleta mifano ya Rwanda kwamba kanisa lilichochea na kushiriki mauaji ya Kimbali.
Yule shekh kabla ya Oct 29 alikuwa anahapa kwa jina la Allah kwamba hamna mTamzania atajitoleza barabarani kwa sababu ya historia yetu ya uoga na usaliti kwa kutolea mifano ya maandamano yaliyoitishwagwa nyuma kufeli. Sasa watu walipotoka naona alipagawa kuona kauli zake na viapo vyake vimegeuka vituko ndo maana akaamua kuhaidi kuwacharanga wenzie vichwa kwa majambia.By the way jamaa ni mwanachama wa CUF wa jino kwa jino.
 
Ccm

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1EwG5tUwvn/
 
Ungekuwa na akili kidogo tu ungejifundisha kujua kinachoongelewa na TEC ni dini au ni hoja? Lini wamewahi kutaja dini ya mtu?

Halafu ungekuwa hujabemendwa ungejua kuwa TEC wakitoka na waraka wao wenye HOJA zao za msingi watu wanaopindua na kutaka zionekane zinamlengo wa dini ni viongozi wa Kiislamu wasio na elimu na wenye agenda zao za siri za muda mrefu

Ungenyonya maziwa ya Mama yako mzazi walau kwa mwezi mmoja baada ya kuzaliwa ungetambua kuwa Rais akiwa Mkristo hata TEC watoe nyaraka ngumu kiasi gani kuisema serikali hautasikia mjadala kama huu wala kuona popote hao viongozi walioogopa kwenda shule wakiongea chochote. Rejea utawala wa Magufuri tu wa hivi karibuni TEC walimkalia kooni kwa kiwango gani halafu tafuta popote huu mjadala wa udini wa TEC kama utauona popote

Ungezingatia masomo shuleni usingeandika huu upuuzi kwasababu wakati hao viongozi wako waliojifunza kutamka maneno ya kiarabu wakidhani ndio Uislamu wanakupotosha na wanaichafua dini kwa maslahi yao wenyewe.
 
Safi
 
Umekimbia hoza za wenye akili au ?
Mbona kimya
 
gallow bird
Lucas Mwashambwa
stakehigh
Foffana
THE BIG SHOW
Nyinyi kenge wawili hapo huu ni kwamba hamna hoja za kujibu mbona mme skip
 
Wenzako walitishia kukata watu vichwa, sasa hivi wamenywea...kapuku wewe fanyamambo mengine...umeona jana nani alienda kwenye misa ya kumuaga yule mbunge? TEC ni lidubwasha likubwa sana.
 
Mjuba TEC kama taasisi ya dini haina chuki na kiongozi yoyote asiye mkatoliki. Wale hutetea haki na amani kwa raia wote hata wasiokuwa wakatoliki. Kama kiongozi anaenda mrama dhidi ya wananchi wake hukutana nyaraka ili akae njia sawa
 
adriz
Mzee wa brand
Sijui ya wapi
 
Mimi kama mdau wa jf nasema ni upumbavu wa serekali ya CCM ndo tatizo.
Mfano, wewe mleta mada ulivyo mpumbavu sawa na viongozi wenzio/ wako, TEC wanasema kwamba CCM na serekali yake waache kuteka na kuua raia badala yake, raia anayekosoa akamatwe na kuhukumiwa kupitia mahakamani. Then serekali inajitetea kwa kusema kuwa TEC wanautaka tukomeshe mauaji na utekaji kwasababu sisi ni waisilamu na wazanzibari pia!, hebu niambie kwanini msiitwe wapumbavu?
-Unaambiwa tenda haki , wewe unajibu kubwa naambiwa nitende haki kwasababu mimi nimwana nke wa kiislamu! ....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…