Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu
kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano
wa sura na mwili kwa ujumla.
Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo kidogo sana na ni watu wa rika moja labda mlisoma pamoja.
Je ni mimi huwa najiuliza maswali hayo au na wewe pia? Sababu inaweza kuwa ni nini wakuu ni hali kijenetiki, kujipata kimaisha, au ni ugumu kwenye harakati za kujitafuta au ni nini hasa?