Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Umesahau Lishe1. Pesa
2. Ndoa
3. Familia
4. Kazi
5. Stress
6. Magonjwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau Lishe1. Pesa
2. Ndoa
3. Familia
4. Kazi
5. Stress
6. Magonjwa
Hii kauli inapatikana sana kwa wale watu waleKazi ngumu
Pombe kali
Wanawake wazee
mimi ninachojua ukikakaa katika utakatifu na kujitunza Mwenyezi Mungu atakuheshimisha dhambi ndo zinawazeesha watu. Hivyo Mungu wetu ni mtakatifu ivyo tuache dhambi kila siku tutakuwa wapyaa.1: lifestyle
2: vinasaba
3: hali ya kipato
4: Magonjwa
5: Aina ya kazi anayofanya
Wew unaongelea nafs , mwenzako anaongelea mwilimimi ninachojua ukikakaa katika utakatifu na kujitunza Mwenyezi Mungu atakuheshimisha dhambi ndo zinawazeesha watu. Hivyo Mungu wetu ni mtakatifu ivyo tuache dhambi kila siku tutakuwa wapyaa.
sawa lakini imeandikwa Matayo 26:41 Kesheni muombe, msije mkaingia katika majaribu. Kwa maana roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.” nadhani umenielewa ukilisoma ilo andiko msipende dunia kuliko kumpenda Mungu hapa duniani sisi ni wapitaji tuuu.Wew unaongelea nafs , mwenzako anaongelea mwili
Saw mtumishsawa lakini imeandikwa Matayo 26:41 Kesheni muombe, msije mkaingia katika majaribu. Kwa maana roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.” nadhani umenielewa ukilisoma ilo andiko msipende dunia kuliko kumpenda Mungu hapa duniani sisi ni wapitaji tuuu.
Barikiwa mwana wa Mungu 🙏🙏🙏Saw mtumish
🤣🤣🤣 "Babaaa babaaa hawachoki"..Kazi ngumu
Pombe kali
Wanawake wazee
🤣🤣🤣🤣 Wale watu wale watuu hii sentensi hadi leo inanijia ndotoni na ninashtukaHii kauli inapatikana sana kwa wale watu wale