Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

Aina yA misosi.

We acha ulaji wa nyama nyekundu, vyakula vya wanga na pombe.

pendelea kula matunda, mboga mboga na maji kwa wingi

Utaona mabadiko
 
Wew unaongelea nafs , mwenzako anaongelea mwili
sawa lakini imeandikwa Matayo 26:41 Kesheni muombe, msije mkaingia katika majaribu. Kwa maana roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.” nadhani umenielewa ukilisoma ilo andiko msipende dunia kuliko kumpenda Mungu hapa duniani sisi ni wapitaji tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…