Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh Watalii ndiyo wanaongezeka wewe unasema watapunguwa.Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National park watalala hapo hapo uwanjani na kurukia ndege hapo hapo uwanjani.
3. Waarabu wa Loliondo watafurahi kulala airport na kurusha wanyama kwao mwisho wa siku hawatarudi mbugani kuangalia wanyama tena .
4. Hotel hiyo itajengwa eneo la KIA au maza ametenga eneo lake ili hotel iwe yake.
5. Mkataba ni wa miaka mingapi na hotel itakuwa mali ya nani?
6. Ni kweli watu wa kanda ya kaskazini wameshindwa kuendeleza uwanja huo kwa kujenga eneo la nyota tano na maduka?
7. Ni kigezo gani kimetumika kuwapa watu wa oman uwanja huo?
8. Mbunge wa Jimbo la Hai, ameuza uwanja na amesimamia uwanja kuondoka anatarajia kurudi Jimboni kuomba kura 2025?
9. Eneo la Kilimanjaro airport lilikuwa na mgogoro na wamasai na mbunge akawahakikishia kuwa eneo lso liko salama na watarejeshewa? Sasa limetolewa kwa Waarabu?
10. Je kuuzwa kwa Kilimanjaro airport Ngorongoro ipo salama haijauzwa?
11. Maswali ni mengi kuliko majibu ila kiuhalisia Saa100 kwa miaka 2 ameuza kila kitu.
View attachment 2673845
We mtaje tu ili na wengine tupate faidaHata ukiambiwa huwezi amini
Hapo sawa. Huyo ndo angekuwa mwekezajiAngewekeza Mzungu je?
Tenantendw zao zurinsana. Hakijawahi kushuka thamani, lina virutubishi mwilini kuliko tubfa lolite dunia.Bado na kwenye misitu. Watanganyika mpaka mtaomba poo safari hii dadeki!
Mnakuja kufundishwa kulima tende 😁😁😁
View attachment 2673886
Unajua hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha tende?Tenantendw zao zurinsana. Hakijawahi kushuka thamani, lina virutubishi mwilini kuliko tubfa lolite dunia.
Lina maajabu ya kuwa kila linapokaa linazidi kuwa tamu, linajiongeza thamani lenyewe, haliozi kijinga kama ndizi.
Tena wachaga huko watapiga pesa sana wakianza kyoanda mitende. Kuliko kahawa kuliko Mauwa.
Ni chskula tisha kabisa. Ukipsts tende ukachangsnys na ndizi zako mbili tatu, duh, saa 24 upo energised.
Tena zinalimwa hata Tabora na California.Unajua hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha tende?
Mbona hatuletewi sasa hizo za Tabora mpaka tuagize kwa jamaa zako wavaa makobazi?Tena zinalimwa hata Tabora na California.
Jifunze kutumia google kutazama hali ya hewa.
Labda wewe tu ni poyoyo usiyejuwa kuhusu tende.
Chaggadema ni laana kwenye hili taifa aiseeUuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National park watalala hapo hapo uwanjani na kurukia ndege hapo hapo uwanjani.
3. Waarabu wa Loliondo watafurahi kulala airport na kurusha wanyama kwao mwisho wa siku hawatarudi mbugani kuangalia wanyama tena .
4. Hotel hiyo itajengwa eneo la KIA au Rais Samia ametenga eneo lake ili hotel iwe yake.
5. Mkataba ni wa miaka mingapi na hotel itakuwa mali ya nani?
6. Ni kweli watu wa kanda ya kaskazini wameshindwa kuendeleza uwanja huo kwa kujenga eneo la nyota tano na maduka?
7. Ni kigezo gani kimetumika kuwapa watu wa oman uwanja huo?
8. Mbunge wa Jimbo la Hai, ameuza uwanja na amesimamia uwanja kuondoka anatarajia kurudi Jimboni kuomba kura 2025?
9. Eneo la Kilimanjaro airport lilikuwa na mgogoro na wamasai na mbunge akawahakikishia kuwa eneo lso liko salama na watarejeshewa? Sasa limetolewa kwa Waarabu?
10. Je kuuzwa kwa Kilimanjaro airport Ngorongoro ipo salama haijauzwa?
11. Maswali ni mengi kuliko majibu ila kiuhalisia Saa100 kwa miaka 2 ameuza kila kitu.
Usifikiri kua unaelewa kila kitu, kuna mengi huyaelewi.Mbona hatuletewi sasa hizo za Tabora mpaka tuagize kwa jamaa zako wavaa makobazi?
Naam naam kweli mtume Yesu alivaa makobazi ila magaidi wanapendelea zaidi sio unaona wa HouthiUsifikiri kua unaelewa kila kitu, kuna mengi huyaelewi.
"Kobazi" kama za mtume Yesu?
1. Watalii hitafitwa huwa hawaji kiholela kuja kujitafitia hotel kama vile sisi tukienda mikoani tukifika tunaanza kusaka lodge.Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani:
1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park.
2. Wakitoka National park watalala hapo hapo uwanjani na kurukia ndege hapo hapo uwanjani.
3. Waarabu wa Loliondo watafurahi kulala airport na kurusha wanyama kwao mwisho wa siku hawatarudi mbugani kuangalia wanyama tena .
4. Hotel hiyo itajengwa eneo la KIA au Rais Samia ametenga eneo lake ili hotel iwe yake.
5. Mkataba ni wa miaka mingapi na hotel itakuwa mali ya nani?
6. Ni kweli watu wa kanda ya kaskazini wameshindwa kuendeleza uwanja huo kwa kujenga eneo la nyota tano na maduka?
7. Ni kigezo gani kimetumika kuwapa watu wa oman uwanja huo?
8. Mbunge wa Jimbo la Hai, ameuza uwanja na amesimamia uwanja kuondoka anatarajia kurudi Jimboni kuomba kura 2025?
9. Eneo la Kilimanjaro airport lilikuwa na mgogoro na wamasai na mbunge akawahakikishia kuwa eneo lso liko salama na watarejeshewa? Sasa limetolewa kwa Waarabu?
10. Je kuuzwa kwa Kilimanjaro airport Ngorongoro ipo salama haijauzwa?
11. Maswali ni mengi kuliko majibu ila kiuhalisia Saa100 kwa miaka 2 ameuza kila kitu.
Hii kiwanja haitulii kabisa. Akitoka Jini mahaba anakabidhiwa Jini makataUuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: