Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

Duh Watalii ndiyo wanaongezeka wewe unasema watapunguwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Bado na kwenye misitu. Watanganyika mpaka mtaomba poo safari hii dadeki!

Mnakuja kufundishwa kulima tende 😁😁😁

View attachment 2673886
Tenantendw zao zurinsana. Hakijawahi kushuka thamani, lina virutubishi mwilini kuliko tubfa lolite dunia.

Lina maajabu ya kuwa kila linapokaa linazidi kuwa tamu, linajiongeza thamani lenyewe, haliozi kijinga kama ndizi.

Tena wachaga huko watapiga pesa sana wakianza kyoanda mitende. Kuliko kahawa kuliko Mauwa.

Ni chskula tisha kabisa. Ukipsts tende ukachangsnys na ndizi zako mbili tatu, duh, saa 24 upo energised.
 
Tanzania bado inahitaji sana hotels za nyota5 na hazitoshi
Jinsi hotels zitakavyongezeka ndio watalii watamiminika
Dunia nzima hakuna watalii wanaolala karibu na airport kama hayupo on transit kwa hiyo ondoa shaka hakuna kitu kama hicho
 
Unajua hali ya hewa inayofaa kwa kilimo cha tende?
 
Chaggadema ni laana kwenye hili taifa aisee
 
1. Watalii hitafitwa huwa hawaji kiholela kuja kujitafitia hotel kama vile sisi tukienda mikoani tukifika tunaanza kusaka lodge.

2. Watalii hupokelewa na wenyeji wao hotelini...

3. Watalii hulazwa mahotelini na kampuni za utalii.

4. Hata hivyo sipendi uwekezaji wa mwarabu, haunaga tija, hawalipi wenyeji mishahara mizuri, wanyanyasaji na wadini
 
Hii kiwanja haitulii kabisa. Akitoka Jini mahaba anakabidhiwa Jini makata
Wacha tuone huko waarabu wanakotupeleka.
Mwisho Jini Terrorist Linakuja kwa ujinga huu wa Watanzania mtauwawa muishe. Mama akimaliza mda wake anahamia Oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…