- Thread starter
- #41
๐๐๐Basi na wewe kesho nenda kafanye kazi bungeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Basi na wewe kesho nenda kafanye kazi bungeni!
Pascal Mayalla nadhani huyu mwana lumumba anaweza kujibu hili pasipo kuweka uchama kwenye jibu lake, karibu tafadhaliNimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote
Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.
Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .
Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
Mzee mdee kajisifu ana 10B hukoSentensi ya kwanza imeniumiza sana, why watz tunafanywa mazuzu na watu wachache kuchezea jasho letu?
Wale jamaa wa majani ya maboga wamejisahau sana, wanadhani hii nchi ya bibi yao wanafanya wanavyojisikia, na hawajali wavuja jasho wanaowezesha wao na mavitambi yao watembelee zile v8.
Ipo siku watajuta, lakini itakuwa too late..
Hili hawalioniHalafu Spika anasema magari yazimwe kubana matumizi.
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya miezi 18 kusikiliza rufaa ya Wabunge hao 19 bila sababu yoyote
Serikali kupitia Bunge iko kimya na kuendelea kulipa hayo mamilioni yanayodaiwa kulipwa kwa Hao wabunge kinyume cha sheria na utaratibu.
Ukiangalia kwa Umakini si CHADEMA wala Serikali yenye Uchungu na Hizi Pesa za Wananchi .
Hivi ni nani wa Kutusaidia sisi Wananchi pesa zetu zisiliwe kijinga hivi ? Maana ukiangalia ni kama maigizo tu ili ifike 2025 .
๐๐๐๐๐๐ nchi ngumu sana hii
Naona CHADEMA kimyaaaSentensi ya kwanza imeniumiza sana, why watz tunafanywa mazuzu na watu wachache kuchezea jasho letu?