Ni nini hatma ya Pesa zetu zilizotafunwa na zinazotafunwa na Hawa wabunge 19? Watanzania tumefanywa wajinga kiasi hiki?

Pascal Mayalla nadhani huyu mwana lumumba anaweza kujibu hili pasipo kuweka uchama kwenye jibu lake, karibu tafadhali
 
Mzee mdee kajisifu ana 10B huko
 
 
Nilimsikia Yule Bibi wakati anawaapisha mawaziri juzi anawaasa kuheshimu viapo vyao na akawasisitiza wanaapa kulinda KATIBA.Yeye hapa amevunja katiba kwa kuwakubali COVID na kuwalipa mshahara.sasa ameapa nini ??na hizi fedha tunapaswa kumdai kutoka kwenye mshahara Wake.
 
Naona CHADEMA kimyaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…