tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Katiba mpya na tume huru vidaiwe haraka sn tanzania vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndiyo mtaji wa Ccm siku zote,anachokiandika hakijui na hatakijua daimaNimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani.
Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa kabisa na waliotangaza ushindi wa Pombe na Shein. Waliotengua ushindi wa Kenyatta ni majaji wenye profession sawa kabisa na waliotengua ushindi wa Maalimu Seif.
Tofauti ni kuwa Nasa wameonyesha uzalendo kwa kuziamini mahakama zao na UKAWA wakawaamini wazungu ambao bado wanaendelea na upelelezi.
Swali langu ni kwa nini Ukawa hawakwenda Mahakani ikiwa walikuwa na ushahidi sana na waliokuwa nao CCM Longido na CHADEMA kule Bunda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha wezi wazalendo na wanyonge
Unazungumzia mahakama ipi labda kwa mfano? Kama ni hii iliyozuia kubomolewa kwa nyumba kimara halafu ikapuuzwa unategemea nini??!Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani.
Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa kabisa na waliotangaza ushindi wa Pombe na Shein. Waliotengua ushindi wa Kenyatta ni majaji wenye profession sawa kabisa na waliotengua ushindi wa Maalimu Seif.
Tofauti ni kuwa Nasa wameonyesha uzalendo kwa kuziamini mahakama zao na UKAWA wakawaamini wazungu ambao bado wanaendelea na upelelezi.
Swali langu ni kwa nini Ukawa hawakwenda Mahakani ikiwa walikuwa na ushahidi sana na waliokuwa nao CCM Longido na CHADEMA kule Bunda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilipitishwa na wale wabunge wa ndiyoooooooo makofi pwa pwa pwa bila hata kukisomaKifungu kimojawapo cha kijinga sana hiki kuahibtokeza ktk katiba ya nchi!
Cc Msomi Mwakwembe na Dr. BANAMahakama kuu ya Kenya imeonesha Ulimwengu kuwa ipo huru,na ni Mahakama yenye wasomi wanaojitambua kuacha hawa wakwetu wanaowalamba wakubwa miguu kias cha kuinajisi taaluma yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kitanzi kibaya sana.
Katika mazingira kama hayo kuna jipya linaloweza kufanyika?
hiki kipengele kifutwe aisee ndo maana wanajiona miungu watu hawa
Unaelewa ulicho kiandika lakini?Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani.
Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa kabisa na waliotangaza ushindi wa Pombe na Shein. Waliotengua ushindi wa Kenyatta ni majaji wenye profession sawa kabisa na waliotengua ushindi wa Maalimu Seif.
Tofauti ni kuwa Nasa wameonyesha uzalendo kwa kuziamini mahakama zao na UKAWA wakawaamini wazungu ambao bado wanaendelea na upelelezi.
Swali langu ni kwa nini Ukawa hawakwenda Mahakani ikiwa walikuwa na ushahidi sana na waliokuwa nao CCM Longido na CHADEMA kule Bunda?
Sent using Jamii Forums mobile app
akili yako na wewe,hujui kupinga matokeo ya urais mahakamani inaelezwa kwenye katiba ya kenya,katiba yetu imezuia haki hiyo!!!!jiongeze na wewe
Mfafanulie tu kwamba kenya matokeo hupingwa mahakamani ambako ni huru na tume ni huru tofauti kabisa na hapa tz wooooote wanahusika kwenye mahakama aunkwenye tume ni wateure Wa ccm serikaliakili yako na wewe,hujui kupinga matokeo ya urais mahakamani inaelezwa kwenye katiba ya kenya,katiba yetu imezuia haki hiyo!!!!jiongeze na wewe
Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya kupinga ushindi wa Kenyatta nikaona jinsi haki inavyojidhihirisha mahakamani.
Nimelinganisha utendaji wa mahakama za Kenya na za hapa kwetu nikaona hakuna utofauti wowote linapokuja suala la kutoa hukumu/haki. Waliotangaza ushindi wa Kenyatta ni majaji sawa kabisa na waliotangaza ushindi wa Pombe na Shein. Waliotengua ushindi wa Kenyatta ni majaji wenye profession sawa kabisa na waliotengua ushindi wa Maalimu Seif.
Tofauti ni kuwa Nasa wameonyesha uzalendo kwa kuziamini mahakama zao na UKAWA wakawaamini wazungu ambao bado wanaendelea na upelelezi.
Swali langu ni kwa nini Ukawa hawakwenda Mahakani ikiwa walikuwa na ushahidi sana na waliokuwa nao CCM Longido na CHADEMA kule Bunda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wameanza na "Hakuna"