Ni nini kiliwashinda UKAWA kwenda mahakani?

Unakiona hicho kifungu?Uwe unajielimisha kwanza kabla ya kuzungumza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba hairuhusu kwenda mahakamani kupinga matokeo ya Urais, pili Tanzania hakuna mahakama ya juu, labda rasimu ya warioba ipitishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali lako linaonesha ni jinsi gani usivyoijua katiba ya Tanzania na yakuwa kwamba si mfuatiliaji wa mambo ya nchi bali ni mshabiki wa kinachoandikwa mitandaoni.
 
Wakati mwingine mtu unapaswa kuficha ujinga wako kwa kutosema sema hovyo. Ona sasa unavyoaibika. Au wewe siyo mtanzania hujui hata katiba inasemaje
 
Katiba ya kidikteta sana
 
Mahakamani kufanya nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ujue sirikale ni ya kuviziavizia hebu sema kama alivosema kimambi kuhusu katiba mpya.
Utaona utavoviziwa wakunyake.

ila kimambe ananyima ucngizi watuflani mh![emoji196] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama c lowassa ulitegemea nan angeifikisha cdm ilipo fika we[emoji84] [emoji780]
Je CDM imeloos au imegain[emoji780]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…