Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Umeandika nini? Acha makasiriko tulia uandike vitu vya kueleweka we mzee.Mipango miji duniani kote hutegemea uwezo wa kipato wa jamiii husika...
Umeandika nini? Acha makasiriko tulia uandike vitu vya kueleweka we mzee.Mipango miji duniani kote hutegemea uwezo wa kipato wa jamiii husika...
Nyumba ile haina hata specification ni maeneo holela nyumba haikujengwa kwa ramani wala kuzingatia vigezi cha ofisi ni nyumba ya kuishi waswahili Chadema wakaigeuza ofisi bila hata modificationsMtaa ufipa uko kwenye ramani
Kinondoni mjini ambapo zamani enzi za bryson usafiri wa bus ukitokea mjini root inaishia hapo...
Nipo salama swahiba 😃. Nilisahau tu kukutag. Embu nisaidie majibu maana na wewe ni mwana Ccm kindaki ndakiNafurahi upo salama Lord denning
Nilikupeza swahiba
Kwa nini Ccm kama wasimamizi wa sera hawajaweka huo mwongozo? Ili ofisi ziwe sehemu maalum ambazo zimeandaliwa kiofisi??Nyumba ile haina hata specification ni maeneo holela nyumba haikujengwa kwa ramani wala kuzingatia vigezi cha ofisi ni nyumba ya kuishi waswahili Chadema wakaigeuza ofisi bila hata modifications..
Ufipa eneo holela wapi!nyumba iko kwenye mtaaNyumba ile haina hata specification ni maeneo holela nyumba haikujengwa kwa ramani wala kuzingatia vigezi cha ofisi ni nyumba ya kuishi waswahili Chadema wakaigeuza ofisi bila hata modifications..
Hapana sio sawa hauko sahihi. Mipango miji hutegemea mkakati uliowekwa na serikaliMipango miji duniani kote hutegemea uwezo wa kipato wa jamiii husika...
Maendeleo hayana vyama Lord denning 💥🇹🇿🙏Nipo salama swahiba 😃. Nilisahau tu kukutag. Embu nisaidie majibu maana na wewe ni mwana Ccm kindaki ndaki
Nchi hii inaongozwa na washenzi na mbulula wa ccm unategemea nini? Akili zao ni hovyo hovyo kama makazi holelaInasikitisha kwa kweli. Kama miji mikubwa saivi ni shida, na tuendako huko ndo itakuwa balaaa. Mfano Dar maeneo mapya yote ukienda chanika, kinyerezi, mpiji majohe, makabe, mapwepande, kigamboni watu wanajijengea hovyo tu na wala hakuna anayejali.
Dodoma ndo usiseme, kuna maeneo watu wansjijengea tu na itakuwa Kama manzese na Tandale au mwananyamala . Ni upuuzi mtupu
@mama D anaona sawa tu [emoji23][emoji23][emoji23]Inasikitisha kwa kweli. Kama miji mikubwa saivi ni shida, na tuendako huko ndo itakuwa balaaa. Mfano Dar maeneo mapya yote ukienda chanika, kinyerezi, mpiji majohe, makabe, mapwepande, kigamboni watu wanajijengea hovyo tu na wala hakuna anayejali.
Dodoma ndo usiseme, kuna maeneo watu wansjijengea tu na itakuwa Kama manzese na Tandale au mwananyamala . Ni upuuzi mtupu
Lakini kwanini mrangi@mama D anaona sawa tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahaha basi yaisheLakini kwanini mrangi
Unanionea bure tuu
😍🤝🙏
Kati ya mambo ambayo huwa yananifanya kusema ni bora mkoloni angeendelea kutawala Tanzania ni hili la makazi holela. Ccm wameiharibu sana hii nchi.Nchi hii inaongozwa na washenzi na mbulula wa ccm unategemea nini? Akili zao ni hovyo hovyo kama makazi holela
Anajitoa ufahamu tu huyu. Anajua ukweliHapana sio sawa hauko sahihi. Mipango miji hutegemea mkakati uliowekwa na serikali
Open space zote mmewakodisha watu wa garage[emoji7][emoji1666][emoji120]
Zote kweli? Mbona mtaani kwetu zipo OpenOpen space zote mmewakodisha watu wa garage
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mtaani kwako wapi?Zote kweli? Mbona mtaani kwetu zipo Open
Nitakualika mitaani kwetu baada ya tarehe moja nije nikuonyeshe open spacesMtaani kwako wapi?
Hebu uchama weka pembeni tuzungumze hali halisi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu jibu lako kama sijaliewa vizuri maana kama swala la kipato husika Mkoa wa Rukwa na Katavi ni mojawapo ya mikoa masikini kabisa lakini miji yao imepimwa vizuri kabisaMipango miji duniani kote hutegemea uwezo wa kipato wa jamiii husika...