Kinondoni pachoto open space imekuwa garageNitakualika mitaani kwetu baada ya tarehe moja nije nikuonyeshe open spaces
Sasa kama viwanja vipo vya kutosha na havijaanza kutumika sawasawa kuna kitu kinaharibika kwa kuwa parking, mikutano au soko kwa muda?Kinondoni pachoto open space imekuwa garage
Biafra uwanja wa michezo kuna garage na parking ya malori ...
Hiyo mifano michache tu nakupa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Halmashauri asilimia kubwa nchi hii ziko chini ya Chama gani?Mtawalaumu CCM hadi kiama. Swala la mipango miji ni la halmashauri za mikoa pamoja na wilaya. Je, humo ndani wanaoshiriki ni kina nani? Je, sera za miji kwenye hizo halmashauri zinapitishwa na kina nani? Mtapiga kelele mpendavyo lakini siku ya mwisho wenye lawama ni halmashauri na siyo chama cha siasa. Piganeni ingieni huko kwenye halmashauri za mikoa/wilaya mpiganie haki zenu kupiga kelele mitandaoni bila kuhesabiwa kwa vitendo ni uzandiki tu.
Inasemekana sababu ya yote uliyosema ni chadema mkuu,wanazi wa lumumba wanakuambia malalamiko ya nini mbona jengo la mtaa wa ufipa wa chadema halijapangwa,ndo maana mwenyekiti wao huwaga anasubiri usajili kutoka ufipa awape vyeo siyo kwa akili hizi humu ndaniHili linahitaji uongozi wa wizara utakaotambua kuwa ni tatizo. Process ya kupimi viwanja na kupata hati ilikuwa ngumu na bado ngumu sana japokuwa Toka awamu ya tano imeingia kidogo kuna uafadhali japo ni gharama kubwa...
Hii hoja ni nzito..kama huiwezi ni bora ukakaa kimya.Chadema wenyewe wamepanga makao yao makuu kwenye makazi holela midimbwi kibao nyumba utafikiri Choo cha city
Mie hadi Kuna kipindi najisemeaga kimoyo moyo kuwa inawezekana hawa wenzetu labda walinyimwa bongo kama sisi. Hii nchi kusema kweli ukichukua case study ya Dar tu unaweza lia.Hili linahitaji uongozi wa wizara utakaotambua kuwa ni tatizo. Process ya kupimi viwanja na kupata hati ilikuwa ngumu na bado ngumu sana japokuwa Toka awamu ya tano imeingia kidogo kuna uafadhali japo ni gharama kubwa...
Wao Kil muda ni kuleta masikhara tu. No wonder hii nchi ni vituko kila konaHii hoja ni nzito..kama huiwezi ni bora ukakaa kimya.
Wakati mwingine tupunguze mizaha kwenye mambo ya msingi.
Miji ya Tanzania imeachwa ijiendee holela kama moto wa nyikani.
Hii mi hatari na aibu kwa taifa.
Huyu akili alishazifukiaga ardhini. Saivi kasikia DED Igunga katumbuliwa soon utamuona anakuja humu na mapambio ya kusifu na kuabuduPASCAL MAYALLA ANAMAJIBU.
Shida ni usimamizi wa sheria za mipango mijiSolution yake inaanzia waizarani kulete mpango kazi ambao mpaka mwenyekiti, mtendaji na mjumbe wa kaya anafahamishwa jinsi viwanja au maneno yanavyotakiwa kuendelezwa.
Ilikuwa rahisi tuu mjumbe wa shina amuonye mangi fulani anayejenga mpaka nje ya mawe pale mabibo opposite NIT. Au aple sinza queen of sheebah lakini mjumbe na mtendaji siku hizi wamekurupuka kukusanya fedha za kibali cha ujenzi halafu wanaminya matumboni mwao. Wala hawajishughulishi kuangalia mipaka, barabara zinapata nafasi.
Maeneo mengi kwanza TANU/CCM walipewa na watu kama kuwaunga mkono hivi unalijua hilo!Sasa kama viwanja vipo vya kutosha na havijaanza kutumika sawasawa kuna kitu kinaharibika kwa kuwa parking, mikutano au soko kwa muda?
Sababu matumizi hayajabadilishwa bado hivyo ni viwanja
Wapuuzi tu hao maccm wanaakili za hovyo hakuna wanacjoweza fanya,huoni Rais wao anateua watu kutoka nje ya lichama lao na kuwapa madaraka au ananunua wapinzani na kuwapa ofisi anajua huko yamejaa nambulula na matokeo yake ndio haya sasa Kila kitu wamefeli hili la makazi holela kwa sababu linaonekana waziMie hadi Kuna kipindi najisemeaga kimoyo moyo kuwa inawezekana hawa wenzetu labda walinyimwa bongo kama sisi. Hii nchi kusema kweli ukichukua case study ya Dar tu unaweza lia.
Ni kama hakuna serikali au waliopo serikalini wote ni mazumbukuku. Umetoa mifano mizuri sana. Kwa nini mzungu alizipanga oysterbay, Upanga na Masaki na sie tukashindwa kupanga sehemu zingine na juzi simamia?
Maeneo mapya kama kivule, chanika, kinyerezi, kibamba, madale, makabe, msakuzi, Goba, Bunju na Mbagala huko kwa nini serikali wameshindwa kuyapanga. Basi kama hawakuwa na hela kwa nini hata hawakutoa mwongozo jinsi ya mpangilio wa ujenzi Yaani watu wajenge kwa mfumo fulani na lazima wahakikishe Kuna barabara za mitaani kwenye kila mtaaa?
Mie bado naomba wana Ccm watujibu humu. Sio kwamba tunawaandama bure, waseme hata kama hela hawana za kupima, imekuwaje wao na serikali zao kushindwa kutoa hata miongozo na kuelekeza juu ya usimamizi kwa serikali za mitaa ili kuhakikisha watu wanajenga vizuri kwa mpangilio na maeneo yanapendeza?
Jibu la kijinga kabisa.Mipango miji duniani kote hutegemea uwezo wa kipato wa jamiii husika
Usiite ujenzi holela kuna maenro ya wenye nazo mipango miji iko vizuri kaishi huko kama uwezo sababu huko nyumba kujenga ramani tu yaweza kugharimu hata milioni kumi sababu nyumba unatakiwa kujenga kwa specific specification na kunakuwa na maeneo ya supermarkets sio magenge au duka la mang au mpemba l na kunakuwa na hotels sio mama nitilie
Ukikomaa copy and paste sio rahisi
Nchi ili duniani ya dunia ya tatu isiyp na makazi holela?taja hata moja tu
Huyo YEHODAYA, nadhani ni mwendawazimu. Tunaongelea mpangilio hovyo wa miji ya Tanzania, amekwisharukia CHADEMA. Upuuzi mtupu.Chadema imefikaje hapa?? Kwani kwenye ofisi za Chadema hakuna barabara inayofika???
Hizo ramani zinazoonesha upana wa barabara za mitaa mita 6, nazo unaita ni ramani za miji?Mipango miji ipo ramani zipo tatizo utekelezaji na usimamizi wa serikali
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app