Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyo kibwetere ameshaelekezwa kibla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akalichakate!??....😳🙄 Msamiati mpya huu ?Itakua ameona demu mpya sasa anaigiza ustaarabu ili ang'oe goma akalichakate kama kawaida alaf asingizie mkono wa baunsa
Gusa unate😎😎😎😎Kompromat
Kompromat
Kompromat
Umesahau ile clip ya porn aliyocheza bado iko mikononi mwao na akileta za kuleta anaweza kufikishwa mahakamani kwa uhalifu wa mtandao wa kupiga na kusambaza picha za ngono?
Mkuu rosemarie , naunga mkono hoja, hakuna chochote kilichompata, wala haumwi chochote, bali atakuwa ni yeye tuu mwenyewe baada ya kusoma haya mabandiko matatu humu jf,tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri
nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa???
nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo
na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa
aliifata ccm ili atimize lile neno linalosema if you dont beat them join them???ana mambo mengi ya siri moyoni mwake
je ccm wameshamweka kati???time will tell
Sio mchezo
Government siyo ya kuchezea kama upo kwenye nyumba ya vioo! Kuna watu career yao ni kudeal na government, ni wanasiasa haswaa, ndiyo hawa akina Lissu na Mbowe, waachiwe wafanye kazi yao, na mkate wao wanaupatia hukohuko pia! Tatizo la Rashid ni kujifanya anajua kila kitu kama pal wake marehemuKashaminywa p.umbu na ze gavamenti
Mother hata hatumii nguvu, and ana moyo mkubwa mnoo, Kwa yale aliyokuwa anaongea Gwaji kiongozi mwingine angepaniki, ila yeye alipiga kimya, mwisho wa siku Gwaji mwenyewe kajishtukia, the same thing kitatokea Kwa huyu Polepole na darasa lake la kinafiki
Wangelifutilia mbali bahati yakeKanisa lenyewe limesajiliwa kama NGO tu, utapeli mtupu.
Inaonesha waliokuwa nyuma yake walinusa dalili mbaya mbele ya safari, wakamtosaHuyo kibwetere ameshaelekezwa kibla.
Serikali kibokoGovernment siyo ya kuchezea kama upo kwenye nyumba ya vioo! Kuna watu career yao ni kudeal na government, ni wanasiasa haswaa, ndiyo hawa akina Lissu na Mbowe, waachiwe wafanye kazi yao, na mkate wao wanaupatia hukohuko pia! Tatizo la Rashid ni kujifanya anajua kila kitu kama pal wake marehemu
tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri
nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa???
nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo
na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa
aliifata ccm ili atimize lile neno linalosema if you dont beat them join them???ana mambo mengi ya siri moyoni mwake
je ccm wameshamweka kati???time will tell
Wangelifutilia mbali bahati yake
Ova
Ila ndani ya maccm bado kunafuka moshi na wakati wowote ule moto utalipuka. Ngoja tuone mabadiliko mengine ya Baraza la Mawaziri kwa sababu Chifu Hang ya alitwambia aliweka koma na siyo nukta. Je, atawaondoa wale wa kumuenzi dhalimu mwendazake?