Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

Atakua amepigiwa simu ambayo namba hazionekani
 
Hahahahaha mama ana total control 😂😂😂only time will tell.

Hakuna cha moshi wala moto..

Wote wanakaa kwa adabu..
Ujumbe wameupata wote..
Chamurio kapigwa chini.
kalemani mbunge wa chato kapigwa chini..

Wote wanaishia kwa adabu sasa..
Mama ana total control
 
Hahahahaha mama ana total control [emoji23][emoji23][emoji23]only time will tell.
Ccm mwenyekiti ndio Causa Finita Est.

Kamati kuu imekutana leo wanaweza wakakusuprise wakitoa press release yao kupitia Shaka Hamdu Shaka.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ngoja tusubiri Mkuu tuone kama ataguswa mtu. Mimi naamini Chifu Hang ya hana huo ubavu.

Ccm mwenyekiti ndio Causa Finita Est.

Kamati kuu imekutana leo wanaweza wakakusuprise wakitoa press release yao kupitia Shaka Hamdu Shaka.
 
Chanjo inafanya kazi maana chanjo inatibu magonjwa mengi ikiwemo kutafuta kiki na kuropokaropoka hivyo.
 
Back
Top Bottom