Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Ningependa tupate kiini kabisa maana sio kila ukoo unaasili ya pesaNguvu sio kubeba nondo ni hela
ukoo wenye hela ndio wenye nguvu
Kwaio pesa ndio kiini cha umoja, upendo na mshikamanoHili swali nimewahi kujiuliza huko nyuma pia. Maana wakati nasoma. Kuna ukoo wa kichiefu wanalikuwa wanatusumbua sana pale shuleni. Wenyewe walikuwa wanavaa vizuri kuzidi wengine. It means walikuwa na uwezo kuzidi wengine. Walikuwa na mali kuzidi wengine,na ndio nguvu yao ilitokana na hilo pia. Kumbuka enzi za miaka ya kabla ya 2000.
Hata sasa pia kwa miaka hii tuliyoopo nime-experience pesa ni kila kitu. Kuwa na ukoo wenye nguvu ni kuujengea uwezo huo ukoo kiuchumi sana. Yaani katika hiyo familia wengi muwe ma uwezo kiuchumi. Wewe ukiwa na jiwe,jitahidi mtoe mwingine ktk hiyo familia awe na jiwe,na mwingine na mwingine. Uko utakuwa imara na wenye nguvu tu. Ni hivyo. Pesa pesa pesa na nguvu ni kitu kimoja
Nimeona malalamiko ya watu wengi kukosa misaada ya kihali na mali haswa zinapotokea zarula mbalimbali ghafla ambazo hawakuzitegemeaNi ukoo gani tajiri?
Ni ukoo gani maskini?
Zitaje izo koo ili kabla sijaanza kushusha ndondo from my point of view nijue kwanza we umeona nini mpaka ukaja na hii mada Ili nijitahidi kuweka mchango wangu relevant, ntarudi
Kwanza kukutana mara kwa mara kwenye vikao vya ukoo, na kusaidiana kwenye issues mbalimbali za maisha. Kuna koo wamejiwekea mpaka vikao na uongozi na wana mpaka vikoba vyao. Koo zingine hata kukutana ni kazi na kila mtu na lwake...Ningependa tupate kiini kabisa maana sio kila ukoo unaasili ya pesa
Nunua yai upate kiiniNingependa tupate kiini kabisa maana sio kila ukoo unaasili ya pesa
Laana na barakaNimelifatilia hili kwa muda mlefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk
Naleta hoja hii ili tupate kulekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia , ukoo , jamii mpaka nchi kwa ujumla
Karibuni wakuu.
Haha ukweli mchungu wa umasikini ni laanaAsili tu ya Koo, Kuna Koo ziko vizuri kiuchumi na zinaheshimika kwa michango yao chini na zilizo poor nyingi ni zile zilizokuwa na wachawi wengi, wavivu na wasiopendana, pia magonjwa na laana za asili, matambiko hufanya Koo nyingi ziwe maskini kwa kurudishana nyuma na kuwa na elimu ndogo
Mtoa mada chukua hiliNguvu sio kubeba nondo ni hela
ukoo wenye hela ndio wenye nguvu
Haha ukweli mchungu wa umasikini ni laanaAsili tu ya Koo, Kuna Koo ziko vizuri kiuchumi na zinaheshimika kwa michango yao chini na zilizo poor nyingi ni zile zilizokuwa na wachawi wengi, wavivu na wasiopendana, pia magonjwa na laana za asili, matambiko hufanya Koo nyingi ziwe maskini kwa kurudishana nyuma na kuwa na elimu ndogo
Nimeipokea kwa moyo mmojaMtoa mada chukua hili
Umaskini ni laana ya kupingwa, umaskini unazalisha sana utu, na maskini kuona pepo ngumu maana wana roho mbayaHaha ukweli mchungu wa umasikini ni laana
Nitafanya hivyo piaNunua yai upate kiini
Nimelifatilia hili kwa muda mlefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk
Naleta hoja hii ili tupate kulekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia , ukoo , jamii mpaka nchi kwa ujumla
Karibuni wakuu.