Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

mzee unasema unafuatilia budget za hizi nchi mbili unashindwa jua vitu basic hivyo..makampuni mengi ya bidhaa za chakula yapo kenya toka zamani...ndo maana Mzee baba magufuri anapush ili tuweze industrialize zaidi nchi.
Hivi Tanzania ya Magufuli inafanya industrialisation au inaua viwanda?
 
Mifano ni mingi ila kwa uchache tu sisi ndio hatutaki kodi, unafukuzaje fast jet inayolopa kodi ili atcl isiwe na ushindani? 😁😁
 
Mbona mnapenda sana kufananisha TZ na Kenya? Kenya ni Kenya, na Tanzania ni Tanzania.
 
Tuna dhahabu na Tanzanite ambayo Kenya hawana. Hivyo viwanda vya Kenya vinauza wapi bidhaa zao ambazo hatuzijui?
Hawa jamaa wana experience Kubwa sana ikija swala Free-market economy tofauti na sisi ,Sisi tulipoteza muda kipindi cha Ujamaa..
 
Hawa jamaa wana experience Kubwa sana ikija swala Free-market economy tofauti na sisi ,Sisi tulipoteza muda kipindi cha Ujamaa..
Tukiweza kumshika kwenye makusanyo, nadhani EAST AFRICA itakua chini yetu
 
Unaweza kuwa na industry bado market ikawa ni changamoto, population ya Kenya haikidhi idadi ya viwanda mnavyodai vipo Kenya. Soko la bidhaa za Kenya liko wapi au kwenye nchi zipi? Kwa maana hata sasa kwenye ma supermarket ya kwetu nchini bidhaa za Kenya sio nyingi kama za Tanzania. Je soko la bidhaa za Kenya, Tanzania hairuhusiwi kupeleka bidhaa?

Wao wana masoko nje sana tu
Mpaka [emoji636] wanaleta vingi tu kama mboga aina zote zinaingia kila kukicha ingawa soko la maua ni baya kwa sasa lakini walikuwa wanafanya vizuri pia
Pia naona sana kahawa ya makopo kwenye supermarkets za huku kama Tesco, Sainsbury’s na Asda utakuta bidhaa zao ila sisi hakuna hata nyanya
Hata Uganda wana Soko huku ila sisi bado sana
Na hii inawaingizia fedha za kigeni kila kukicha hapo ndio tunafeli
Naomba unisaidie kidogo hapo kwanini hatuuzi hata pilipili nje?
 
Naoana tatizo ni flights za uhakikaka kwa ajili ya masoko ya nje ya Africa, naona serikali ya awamu ya tano wako mbioni kuchukua ndege ya mizigo itasaidia sana.

Kuna wakorea nilikutana nao Kagera wanashangaa maparachichi tunauziwa kwa fungu 1,000/- TZS wakati kule kwao Parachichi moja ni USD 3.

Kwa upande wa Kenya kuna baadhi ya Items huwa wanatoa TZ na kusafirisha kwenda masoko ya nje. Na imani ndege ya mizigo italeta manufaa na ikiwezekana waongeze nyingine tu.
 
Wao wana masoko nje sana tu
Mpaka [emoji636] wanaleta vingi tu kama mboga aina zote zinaingia kila kukicha ingawa soko la maua ni baya kwa sasa lakini walikuwa wanafanya vizuri pia
Pia naona sana kahawa ya makopo kwenye supermarkets za huku kama Tesco, Sainsbury’s na Asda utakuta bidhaa zao ila sisi hakuna hata nyanya
Hata Uganda wana Soko huku ila sisi bado sana
Na hii inawaingizia fedha za kigeni kila kukicha hapo ndio tunafeli
Naomba unisaidie kidogo hapo kwanini hatuuzi hata pilipili nje?
Kitu kingine nilicho notice bidhaa za Kenya zina quality zaidi kuliko Za hapa kwetu bongo check upande wa sabuni za Unga Kama HOMO ya kenya compare na products zetu,pia Kama mnakumbuka Pen Aina ya Bic ilikuwa bola zaidi kuliko za hapa bongo
 
Hapa siwezi sema kitu.
 
Naoana tatizo ni flights za uhakikaka kwa ajili ya masoko ya nje ya Africa, naona serikali ya awamu ya tano wako mbioni kuchukua ndege ya mizigo itasaidia sana. Kuna wakorea nilikutana nao Kagera wanashangaa maparachichi tunauziwa kwa fungu 1,000/- TZS wakati kule kwao Parachichi moja ni USD 3. Kwa upande wa Kenya kuna baadhi ya Items huwa wanatoa TZ na kusafirisha kwenda masoko ya nje. Na imani ndege ya mizigo italeta manufaa na ikiwezekana waongeze nyingine tu.

Tatizo mkuu sio ndege Bali ni vibali vya usafirishaji kuna matatizo mengi na vikwazo vingi utakutana navyo pindi unapotaka kusafirisha na kuomba vibali.

Kuna ofisi zaidi ya kumi inabidi upite ndio maana Bashe aliongelea hili kuwa kwanini ofisi zote zisiwe kwenye jengo moja tu.

Kama ingekuwa rahisi kupata vibali ningeanza zamani sana kwani ninanunua sana mboga mboga na matunda kwenye Soko la kimataifa lililopo hapa London linaitwa Western International Market.

Bidhaa za nchi nyingi ziko hapa kasoro Tz tu.

Wenzetu wanarahisisha sana mambo kuliko sisi
 
Kitu kingine nilicho notice bidhaa za Kenya zina quality zaidi kuliko Za hapa kwetu bongo check upande wa sabuni za Unga Kama HOMO ya kenya compare na products zetu,pia Kama mnakumbuka Pen Aina ya Bic ilikuwa bola zaidi kuliko za hapa bongo

Sisi hata packaging hatujui let alone bidhaa zenyewe kuwa quality. Dawa ya mswaki yao huwezi kulinganisha na ya kwetu kabisa
Wametutangulia sana kwa sababu hizo. Sisi mradi tupo tu.
 
Back
Top Bottom