Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hivi Tanzania ya Magufuli inafanya industrialisation au inaua viwanda?mzee unasema unafuatilia budget za hizi nchi mbili unashindwa jua vitu basic hivyo..makampuni mengi ya bidhaa za chakula yapo kenya toka zamani...ndo maana Mzee baba magufuri anapush ili tuweze industrialize zaidi nchi.
Sio wanakukwepa,bali hawana Cha kulipa maana biashara zinafungwa, mzunguko duni.Utakusanyaje mapato wakati watu hawana pesa, lazima wakukwepe tu.
SureMimi naona key ni kukusanya kidogo kidogo kutoka kwa kila mtu na sio kiasi kikubwa kutoka kwa watu wachache, unaua business zao.
Hawa jamaa wana experience Kubwa sana ikija swala Free-market economy tofauti na sisi ,Sisi tulipoteza muda kipindi cha Ujamaa..Tuna dhahabu na Tanzanite ambayo Kenya hawana. Hivyo viwanda vya Kenya vinauza wapi bidhaa zao ambazo hatuzijui?
Yap nakubaliana wewe mabadiliko yanaonekana tutawafikia tuTukiweza kumshika kwenye makusanyo, nadhani EAST AFRICA itakua chini yetu
Nadhani ndio ichi pekee East Africa ambayo tupo Related..Wacha tuanze na Kenya kuna siku tutafananishwa na China
Unaweza kuwa na industry bado market ikawa ni changamoto, population ya Kenya haikidhi idadi ya viwanda mnavyodai vipo Kenya. Soko la bidhaa za Kenya liko wapi au kwenye nchi zipi? Kwa maana hata sasa kwenye ma supermarket ya kwetu nchini bidhaa za Kenya sio nyingi kama za Tanzania. Je soko la bidhaa za Kenya, Tanzania hairuhusiwi kupeleka bidhaa?
Naoana tatizo ni flights za uhakikaka kwa ajili ya masoko ya nje ya Africa, naona serikali ya awamu ya tano wako mbioni kuchukua ndege ya mizigo itasaidia sana.Wao wana masoko nje sana tu
Mpaka [emoji636] wanaleta vingi tu kama mboga aina zote zinaingia kila kukicha ingawa soko la maua ni baya kwa sasa lakini walikuwa wanafanya vizuri pia
Pia naona sana kahawa ya makopo kwenye supermarkets za huku kama Tesco, Sainsbury’s na Asda utakuta bidhaa zao ila sisi hakuna hata nyanya
Hata Uganda wana Soko huku ila sisi bado sana
Na hii inawaingizia fedha za kigeni kila kukicha hapo ndio tunafeli
Naomba unisaidie kidogo hapo kwanini hatuuzi hata pilipili nje?
Kitu kingine nilicho notice bidhaa za Kenya zina quality zaidi kuliko Za hapa kwetu bongo check upande wa sabuni za Unga Kama HOMO ya kenya compare na products zetu,pia Kama mnakumbuka Pen Aina ya Bic ilikuwa bola zaidi kuliko za hapa bongoWao wana masoko nje sana tu
Mpaka [emoji636] wanaleta vingi tu kama mboga aina zote zinaingia kila kukicha ingawa soko la maua ni baya kwa sasa lakini walikuwa wanafanya vizuri pia
Pia naona sana kahawa ya makopo kwenye supermarkets za huku kama Tesco, Sainsbury’s na Asda utakuta bidhaa zao ila sisi hakuna hata nyanya
Hata Uganda wana Soko huku ila sisi bado sana
Na hii inawaingizia fedha za kigeni kila kukicha hapo ndio tunafeli
Naomba unisaidie kidogo hapo kwanini hatuuzi hata pilipili nje?
Hapa siwezi sema kitu.Kitu kingine nilicho notice bidhaa za Kenya zina quality zaidi kuliko Za hapa kwetu bongo check upande wa sabuni za Unga Kama HOMO ya kenya compare na products zetu,pia Kama mnakumbuka Pen Aina ya Bic ilikuwa bola zaidi kuliko za hapa bongo
Naoana tatizo ni flights za uhakikaka kwa ajili ya masoko ya nje ya Africa, naona serikali ya awamu ya tano wako mbioni kuchukua ndege ya mizigo itasaidia sana. Kuna wakorea nilikutana nao Kagera wanashangaa maparachichi tunauziwa kwa fungu 1,000/- TZS wakati kule kwao Parachichi moja ni USD 3. Kwa upande wa Kenya kuna baadhi ya Items huwa wanatoa TZ na kusafirisha kwenda masoko ya nje. Na imani ndege ya mizigo italeta manufaa na ikiwezekana waongeze nyingine tu.
Kitu kingine nilicho notice bidhaa za Kenya zina quality zaidi kuliko Za hapa kwetu bongo check upande wa sabuni za Unga Kama HOMO ya kenya compare na products zetu,pia Kama mnakumbuka Pen Aina ya Bic ilikuwa bola zaidi kuliko za hapa bongo