Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado kuna "ingredients " hazijaandikwa mezani.
Ongezea na parachichiBado kuna "ingredients " hazijaandikwa mezani.
1-Maziwa mgando tu-bilauri tuwili.
2-Mahindi mazuri mawili yaliyochemshwa/yawe na uvuguvugu.
3-Maembe dodo makubwa mawili yaliyoiva vema.
4-Mchuzi mzito moto wa kambale bakuli moja.
5-Maji ya kunywa kwenye kata in case of emergency mlaji kukabwa na msosi huo.Ana-wash down the good meal!🤔
Sina shaka Mwashambwa ataleta.Ongezea na parachichi