Ni nini kitatokea?

Ni nini kitatokea?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
20240817_173640.jpg
 
Bado kuna "ingredients " hazijaandikwa mezani.
1-Maziwa mgando tu-bilauri tuwili.
2-Mahindi mazuri mawili yaliyochemshwa/yawe na uvuguvugu.
3-Maembe dodo makubwa mawili yaliyoiva vema.
4-Mchuzi mzito moto wa kambale bakuli moja.
5-Maji ya kunywa kwenye kata in case of emergency mlaji kukabwa na msosi huo.Ana-wash down the good meal!🤔
 
Ongezea na parachichi
 
Corona part 2 ,,coz nchi nzma tutaathirika pua na vifua

Mapafu pia
 
Back
Top Bottom