Ni nini maana ya certified true copy

Ni nini maana ya certified true copy

Yaani graduate unauliza kama utoe photocopy coloured au black and white.

Anyway ngoja tukujibu tu.

Unaweza kutoa katika mfumo wowote kati hiyo miwili, haina athari yoyote.

Certified true copy of original ina maana kuwa hicho kilichogogwa huo mhuri kimethibitishwa kuwa ni nakala halisi ya cheti au nyaraka husika.

Nikufafanulie zaidi?
Inapogongwa huo mhuri ina maanisha kuwa huyo aliyegonga ana mamlaka ya kuipitia nyaraka halisi na kuilinganisha na hiyo nakala uliyompa aigonge huo mhuri, akijiridhisha kuwa ni yenyewe sasa ndio anagonga huo mhuri wakuthibitisha.
 
Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.

Vijana wengi wavivu sana kujifunza, wengi wakishahitimu hawajifunzi sana
Hapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.
Matokeo yake mtu ana vyeti vizuri lakini kichwani mtupu.
 
Wakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
Ndiyo watoto wetu hao.Zao la mifupa yetu.Je,tumepata magarasa?Ila,ni wa kwetu tusiwabadilishe na madebe ya mbege kwa kuwachoka.
NB;Huwa nikikaa na watoto hata waulize ujinga namna gani,nawatafutia majibu halisi kwa njia rafiki.Imani yangu,duniani hakuna swali la kijinga.
 
Yaani graduate unauliza kama utoe photocopy coloured au black and white.

Anyway ngoja tukujibu tu.

Unaweza kutoa katika mfumo wowote kati hiyo miwili, haina athari yoyote.

Certified true copy of original ina maana kuwa hicho kilichogogwa huo mhuri kimethibitishwa kuwa ni nakala halisi ya cheti au nyaraka husika.

Nikufafanulie zaidi?
Inapogongwa huo mhuri ina maanisha kuwa huyo aliyegonga ana mamlaka ya kuipitia nyaraka halisi na kuilinganisha na hiyo nakala uliyompa aigonge huo mhuri, akijiridhisha kuwa ni yenyewe sasa ndio anagonga huo mhuri wakuthibitisha.
Asante kwa kunielekeza mkuu, ila sijaona kosa kuuliza nisichofahamu, naamini moja ya jitihada Zangu kulifahamu na kuwa sahihi zaidi juu ya hili swala ni kuuliza kwa wanaofahamu, na ndio mana umenielewesha, ubalikiwe.
 
Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.

Vijana wengi wavivu sana kujifunza, wengi wakishahitimu hawajifunzi

Yaani graduate unauliza kama utoe photocopy coloured au black and white.

Anyway ngoja tukujibu tu.

Unaweza kutoa katika mfumo wowote kati hiyo miwili, haina athari yoyote.

Certified true copy of original ina maana kuwa hicho kilichogogwa huo mhuri kimethibitishwa kuwa ni nakala halisi ya cheti au nyaraka husika.

Nikufafanulie zaidi?
Inapogongwa huo mhuri ina maanisha kuwa huyo aliyegonga ana mamlaka ya kuipitia nyaraka halisi na kuilinganisha na hiyo nakala uliyompa aigonge huo mhuri, akijiridhisha kuwa ni yenyewe sasa ndio anagonga huo mhuri wakuthibitisha.
Mkuu samahani, ni kweli kuwa sipo sahihi kuuliza, maana mnanichangana, sifahamu certified true copy nataka kufahamu
 
Hapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.
Matokeo yake mtu ana vyeti vizuri lakini kichwani mtupu.
Mkuu ni kweli uliyoyasema apo yanatoka kwenye kinywa cha msomi? are you serious kwamba kutojua what is certified true copy ni tatizo, ukiwa kama msomi usiendeshwe na hisia mkuu jaribu kutumia elimu yako kupambazua mambo. But thank you for your thoughts
 
Wakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
Mimi nishajazaga kitambo mkuu, Sema shida nilikuwa nataka kuhakiki kama nipo sahihi ama la, maana
Ndiyo mambo ya kupata degree kwa zoom au online.
Kama wewe ni msomi ungejibu kisomi angalau basi kaka, usitangulize hisia zako mbele bila utashi, ni kweli hili swali lina uhusiano wowote na degree, like serious!
 
Asante kwa kunielekeza mkuu, ila sijaona kosa kuuliza nisichofahamu, naamini moja ya jitihada Zangu kulifahamu na kuwa sahihi zaidi juu ya hili swala ni kuuliza kwa wanaofahamu, na ndio mana umenielewesha, ubalikiwe.
Siku nyingine ujifunze kwa kusoma Mkuu sio kuuliza maswali ambayo majibu yapo wazi kabisa. Kama uliweza kuuliza hapa jukwaani ulishindwa vipi kutafuta google. Kwani Unit za computer na communication skills mwaka wa kwanza ulizisoma ili nini?
 
Back
Top Bottom