Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
Kwanza hakuna tofauti kati ya swali la kisomi na swali la kijamii,sababu mambo yote unayosoma yapo kwenye jamii.Google sio trusted source of information, kama kweli wewe ni msomi unafahamu hilo, na mbona hili swala ni la kijamii zaidi sio la kisomi ndio mana nimekuja kwenye jamii mnipe maelekezo, tatizo liko wapi apo
Pili,unatumia vigezo gani kusema google sio trusted source of information? huu ujinga umezaliwa nao au kuna shule umesomea?