Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mkuu worry not tupo hapa kujuzanaKwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke.
Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe colored.
Ni mimi kijana wenu nawasilisha
Vyeti si lazima viwe colored vinaweza kuwa black and white ila hakikisha copy zinaonekana vizuri
Ukiweza toa coloured vionekane vizuri zaidi
Maana ya certified true copy ni kwamba "hii imethibitishwa ni copy halisi ya cheti origina",ndio maana kiuhalisia mwanasheria anatakiwa aone original ya vyeti vyako kabla hajamwaga wino ili asema kile alichokiona
Ila wanasheria wengi ni washikaji wanasaini tu ata kama original hukwenfa nayo kikubwa umenpa posho muliokubaliana😀