Said kinyombe
Member
- Oct 16, 2021
- 13
- 25
Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.Imagine a graduate coming up with such a kindergarten question!
Hapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.
Vijana wengi wavivu sana kujifunza, wengi wakishahitimu hawajifunzi sana
KabisaHapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.
Matokeo yake mtu ana vyeti vizuri lakini kichwani mtupu.
Mueleweshe.Huwezi kujua kitu bila kupata elimu yake.Au aka-google?Vijana wa siku hizi mna matatizo sana
Ndiyo watoto wetu hao.Zao la mifupa yetu.Je,tumepata magarasa?Ila,ni wa kwetu tusiwabadilishe na madebe ya mbege kwa kuwachoka.Wakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
Tatizo ni kuuliza nisichokifahamu ama tatizo langu nini apo mkuu, kitu sifahamu nataka nifahamu shida ipo wapi kiongoziVijana wa siku hizi mna matatizo sana
Kabisa hii ni 70% ya graduate wa Kitanzania.Hapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.
Matokeo yake mtu ana vyeti vizuri lakini kichwani mtupu.
Tanzania wengi unaotuponza ni ujuaji, yaani kitu sifahamu ni mala yangu ya kwanza kukutana nacho nauliza nipate jawabu sahihi tena naonekana kindergarten,Imagine a graduate coming up with such a kindergarten question!
Asante kwa kunielekeza mkuu, ila sijaona kosa kuuliza nisichofahamu, naamini moja ya jitihada Zangu kulifahamu na kuwa sahihi zaidi juu ya hili swala ni kuuliza kwa wanaofahamu, na ndio mana umenielewesha, ubalikiwe.Yaani graduate unauliza kama utoe photocopy coloured au black and white.
Anyway ngoja tukujibu tu.
Unaweza kutoa katika mfumo wowote kati hiyo miwili, haina athari yoyote.
Certified true copy of original ina maana kuwa hicho kilichogogwa huo mhuri kimethibitishwa kuwa ni nakala halisi ya cheti au nyaraka husika.
Nikufafanulie zaidi?
Inapogongwa huo mhuri ina maanisha kuwa huyo aliyegonga ana mamlaka ya kuipitia nyaraka halisi na kuilinganisha na hiyo nakala uliyompa aigonge huo mhuri, akijiridhisha kuwa ni yenyewe sasa ndio anagonga huo mhuri wakuthibitisha.
Inasikitisha sana, kuna maswali hadi mtu unajiuliza mbona enzi zangu sikuwahi uliza maswali kama haya.
Vijana wengi wavivu sana kujifunza, wengi wakishahitimu hawajifunzi
Mkuu samahani, ni kweli kuwa sipo sahihi kuuliza, maana mnanichangana, sifahamu certified true copy nataka kufahamuYaani graduate unauliza kama utoe photocopy coloured au black and white.
Anyway ngoja tukujibu tu.
Unaweza kutoa katika mfumo wowote kati hiyo miwili, haina athari yoyote.
Certified true copy of original ina maana kuwa hicho kilichogogwa huo mhuri kimethibitishwa kuwa ni nakala halisi ya cheti au nyaraka husika.
Nikufafanulie zaidi?
Inapogongwa huo mhuri ina maanisha kuwa huyo aliyegonga ana mamlaka ya kuipitia nyaraka halisi na kuilinganisha na hiyo nakala uliyompa aigonge huo mhuri, akijiridhisha kuwa ni yenyewe sasa ndio anagonga huo mhuri wakuthibitisha.
Mkuu ni kweli uliyoyasema apo yanatoka kwenye kinywa cha msomi? are you serious kwamba kutojua what is certified true copy ni tatizo, ukiwa kama msomi usiendeshwe na hisia mkuu jaribu kutumia elimu yako kupambazua mambo. But thank you for your thoughtsHapa Tz watu hawana lengo la kupata maarifa,wanachotaka ni kufaulu na kupata vyeti iwe kwa kukariri au udanganyifu.
Matokeo yake mtu ana vyeti vizuri lakini kichwani mtupu.
Mimi nishajazaga kitambo mkuu, Sema shida nilikuwa nataka kuhakiki kama nipo sahihi ama la, maanaWakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp
Kama wewe ni msomi ungejibu kisomi angalau basi kaka, usitangulize hisia zako mbele bila utashi, ni kweli hili swali lina uhusiano wowote na degree, like serious!Ndiyo mambo ya kupata degree kwa zoom au online.
Siku nyingine ujifunze kwa kusoma Mkuu sio kuuliza maswali ambayo majibu yapo wazi kabisa. Kama uliweza kuuliza hapa jukwaani ulishindwa vipi kutafuta google. Kwani Unit za computer na communication skills mwaka wa kwanza ulizisoma ili nini?Asante kwa kunielekeza mkuu, ila sijaona kosa kuuliza nisichofahamu, naamini moja ya jitihada Zangu kulifahamu na kuwa sahihi zaidi juu ya hili swala ni kuuliza kwa wanaofahamu, na ndio mana umenielewesha, ubalikiwe.