Google sio trusted source of information, kama kweli wewe ni msomi unafahamu hilo, na mbona hili swala ni la kijamii zaidi sio la kisomi ndio mana nimekuja kwenye jamii mnipe maelekezo, tatizo liko wapi apo
Kwanza hakuna tofauti kati ya swali la kisomi na swali la kijamii,sababu mambo yote unayosoma yapo kwenye jamii.
Pili,unatumia vigezo gani kusema google sio trusted source of information? huu ujinga umezaliwa nao au kuna shule umesomea?
Wakuu, mm wakati najaza taarifa zangu za ajira Portal, nilijaza mwnyw kwa zaid ya 90% n vitu vichache sana niliuliza kwa watu.
Sasa cjui n kwamba watu hawataki kushughulisha vichwa vyao au n vp