Albano Daud
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 215
- 246
Itakua walimfosi avae tshirt yenye picha ya Mama.😅😅 mwenyewe nimejiuliza ana maanisha nini.!?
Weka hiyo picha ndiyo tutoe maoniWana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo.
Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
.Weka hiyo picha ndiyo tutoe maoni
Wahuni tu wapo kazini wala sio akili yake , kwani hamjaanza kuona aliekua mgombea wenyekiti Chadema anaanza ongea ujinga sijui wa maridhiano? anzia pale then unganisha na ujinga huuWana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo.
Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
Odero njaa imefika kichwaniWahuni tu wapo kazini wala sio akili yake , kwani hamjaanza kuona aliekua mgombea wenyekiti Chadema anaanza ongea ujinga sijui wa maridhiano? anzia pale then unganisha na ujinga huu
Kuna sms nzuri sana kwenye hiyo tshirt na positions za mikono on it wakati anaingia ulingoni.
Au ndo muhainj.!?Itakua walimfosi avae tshirt yenye picha ya Mama.
Nimekuja kugundua ni ngumu sana kumcontrol Mwakinyo. Ana itakadi zake binafsi zinashangaza sana.