peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla bunge halijaamka na neno NDIYOOOOO huko Dodoma.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla bunge halijaamka na neno NDIYOOOOO huko Dodoma.