peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Msimamo wa ni ndioooo/matumbo yetu kwanza,wengine watajijua wenyewe na Kuwa tupambane na hali zetuππππNdg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla bunge halijaamka na neno NDIYOOOOO huko Dodoma.
Msimamo wetu ni kuwakabidhi waarabu bandari zote!! CDM wanataka kukwamisha maendeleo ya Nchi!!βοΈπ€£π€£πΆπΆπΆNdg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla bunge halijaamka na neno NDIYOOOOO huko Dodoma.
Bora hao,ila sisi kwa laana na dhambi wanazozitafuta wazee wa ndioooo/matumbo kwanzaππππ€π€Msimamo wetu ni kuwakabidhi waarabu bandari zote!! CDM wanataka kukwamisha maendeleo ya Nchi!!βοΈπ€£π€£πΆπΆπΆ