Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Habari za muda huu wakuu, hope mmeamka salama.
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada. Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa mama,
Na mbaya zaidi hatuna asili ya kipemba au kisomali ni wakurungwa wa humu humu na tatzo sasa mimi ni mtoto wa kiume kitu ambacho kinanipa kero sana. Na kinanifanya nashindwa kujiamini mbele za watu.
Ni nini naweza tumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?