Ni nini naweza kutumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?

Ni nini naweza kutumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?

Habari za mudaa huu wakuu, hope mmeamka salama.

Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada.
Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa mama,

Na mbaya zaidi hatuna asili ya kipemba au kisomali ni wakurungwa wa humu humu na tatzo sasa mimi ni mtoto wa kiume kitu ambacho kinanipa kero sana.
Na kinanifanya nashindwa kujiamini mbele za watu.

Ni nini naweza tumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu??
Funga kilemba kitakusaidia kujiamini
 
Mafuta ya nyonyo yanasababishaga zinakuwa ngumu kuchana hivi, sasa sijui ndo ugumu huo unaoutaka?

Na ulaini samtaim ni protini fulani zinakuwa zinahitajika zaidi. Kuna kitu kinaniambia yanaweza kusaidia maana yako na virutubishi vingi tu.
sahilinet.JPG
Ntashauri jaribu kama ni dawa ila tumia kama mafuta. Hint: Lower your expectations broh
 
Mafuta ya nyonyo yanasababishaga zinakuwa ngumu kuchana hivi, sasa sijui ndo ugumu huo unaoutaka?

Na ulaini samtaim ni protini fulani zinakuwa zinahitajika zaidi. Kuna kitu kinaniambia yanaweza kusaidia maana yako na virutubishi vingi tu.
View attachment 2229281Ntashauri jaribu kama ni dawa ila tumia kama mafuta. Hint: Lower your expectations broh
Yanauzwa bei gani hayo kaka
 
Yanauzwa bei gani hayo kaka
Maduka yaliyo mengi wanauzaga elfu tano kwa mls 100. Na hata zaidi. Natamani ungeyapata yale ya cold/warm pressed castor oil.

Achana na black castor maana haya naona yana mambo mengi, majivu etc.
 
weka picha ili tujue tunaanzia wapi kushauri
 
Maduka yaliyo mengi wanauzaga elfu tano kwa mls 100. Na hata zaidi. Natamani ungeyapata yale ya cold/warm pressed castor oil.

Achana na black castor maana haya naona yana mambo mengi, majivu etc.
Hayo mengine ntayapata wapi mkuu
 
Back
Top Bottom