Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Ukisikiliza walimwengu kamwe hutoishi maisha unoyataka wewe"Habari za mudaa huu wakuu, hope mmeamka salama.
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada.
Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa mama,
Na mbaya zaidi hatuna asili ya kipemba au kisomali ni wakurungwa wa humu humu na tatzo sasa mimi ni mtoto wa kiume kitu ambacho kinanipa kero sana.
Na kinanifanya nashindwa kujiamini mbele za watu
Sasa je nitumie nini ili kuzifanya nywele zangu kuwa ngumu na kavu.
Mbona sioni tatizo mkuu, wewe ni kujiamini na kuwa proud na mama yako.Habari za mudaa huu wakuu, hope mmeamka salama.
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada.
Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa mama,
Na mbaya zaidi hatuna asili ya kipemba au kisomali ni wakurungwa wa humu humu na tatzo sasa mimi ni mtoto wa kiume kitu ambacho kinanipa kero sana.
Na kinanifanya nashindwa kujiamini mbele za watu
Usijali wewe jiamini hiyo njia pekee na endelea na maisha yakoHabari za mudaa huu wakuu, hope mmeamka salama.
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada.
Kuna jambo moja ambalo linanipa kero sana ni kwamba nimekuwa nina nywele laini kiasi kwamba kuna watu wanajua kwamba huwa naweka dawa zile wanazotumia wanawake na hizi nywele mimi nimerithi kwa mama,
Na mbaya zaidi hatuna asili ya kipemba au kisomali ni wakurungwa wa humu humu na tatzo sasa mimi ni mtoto wa kiume kitu ambacho kinanipa kero sana.
Na kinanifanya nashindwa kujiamini mbele za watu
Umeanza lini umbea πEm tuone
Nataka tu nizione hizo nywele za kishombe shombe ππUmeanza lini umbea π
Sina kichwa cha kunyoa dongo mimiNyoa kipara
Sina kichwa cha kunyoa kiparaNyoa kipara au vaa kofia au acha bangi
Kwani hakuna mafuta ya kufanya nywele zangu kuwa ngumuMbona sioni tatizo mkuu, wewe ni kujiamini na kuwa proud na mama yako.
Ili iweje mkuuEm tuone
Sina kichwa cha kunyoa kipara
Sina kichwa cha kunyoa UparaNyoa upara
Tutathibitisha vipi haya madai yako kama ni kweliIli iweje mkuu