Ni nini naweza kutumia ili nywele zangu kuwa kavu na ngumu?

Funga kilemba kitakusaidia kujiamini
 
Mafuta ya nyonyo yanasababishaga zinakuwa ngumu kuchana hivi, sasa sijui ndo ugumu huo unaoutaka?

Na ulaini samtaim ni protini fulani zinakuwa zinahitajika zaidi. Kuna kitu kinaniambia yanaweza kusaidia maana yako na virutubishi vingi tu.
Ntashauri jaribu kama ni dawa ila tumia kama mafuta. Hint: Lower your expectations broh
 
Yanauzwa bei gani hayo kaka
 
Yanauzwa bei gani hayo kaka
Maduka yaliyo mengi wanauzaga elfu tano kwa mls 100. Na hata zaidi. Natamani ungeyapata yale ya cold/warm pressed castor oil.

Achana na black castor maana haya naona yana mambo mengi, majivu etc.
 
weka picha ili tujue tunaanzia wapi kushauri
 
Maduka yaliyo mengi wanauzaga elfu tano kwa mls 100. Na hata zaidi. Natamani ungeyapata yale ya cold/warm pressed castor oil.

Achana na black castor maana haya naona yana mambo mengi, majivu etc.
Hayo mengine ntayapata wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…