Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Nadhani ni Frolide sio calciumMaji yana calcium iliyoZidi,sasa suluhishi ni wao wahamie Kenya,mkoa uwe mbuga ya wanyama
Hahaha acha hizo chief,Maji yana calcium iliyoZidi,sasa suluhishi ni wao wahamie Kenya,mkoa uwe mbuga ya wanyama
Kwahiyo kuuliza sababu ya kuwa na meno ya hivyo na suluhisho ni ujinga?Tukianza kuangalia kasoro kwa kila kabila tutafika kweli!...acha ujinga.
mshana jr kwa uelewa wako unafikiri mada hii ni ya kuwasema wachagga vibaya?Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
suluhisho la nn wakati ndio identify ya watu wa kaskaziniKwahiyo kuuliza sababu ya kuwa na meno ya hivyo na suluhisho ni ujinga?
Sijasema hivyo tafadhali hebu rudia kusoma tena nilichoandikamshana jr kwa uelewa wako unafikiri mada hii ni ya kuwasema wachagga vibaya?
Sawa.Sijasema hivyo tafadhali hebu rudia kusoma tena nilichoandika
Mbona wamasai wa huko simanjiro,lingido,manyara meno yao ni meupe kabisa mkuu?sio wachaga wala sio moshi tu ni ukanda mzma wa kaskazini kuanzia Tanga hadi Manyara wote wana meno ya aina hiyo n kutokana na maji yana floride kuwa nyng kwenye maji na ww ukikaa kwa mda wa miaka mi5 utapatwa na hilo tatzo
Kuanzia Tanga...? !sio wachaga wala sio moshi tu ni ukanda mzma wa kaskazini kuanzia Tanga hadi Manyara wote wana meno ya aina hiyo n kutokana na maji yana floride kuwa nyng kwenye maji na ww ukikaa kwa mda wa miaka mi5 utapatwa na hilo tatzo
Usiseme vitu usivyovijua kiongozi. Ukisema kuanzia Tanga hadi Manyara unakuwa muongo, tena muongo mkubwa wewe.sio wachaga wala sio moshi tu ni ukanda mzma wa kaskazini kuanzia Tanga hadi Manyara wote wana meno ya aina hiyo n kutokana na maji yana floride kuwa nyng kwenye maji na ww ukikaa kwa mda wa miaka mi5 utapatwa na hilo tatzo