bennie bizo
New Member
- May 9, 2015
- 1
- 0
Tatizo ni maji kuwa na fluorine nyingi ndicho kinafanya meno kuwa na rangi.maeneo mengine ni singida na baadhi ya maeneo ya dodoma pia wameathirika na wingi wa madin hayo katika maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachagga wa umri tofauti na ukitaka kuamini zaidi nenda tu kibosho,kwanza kuanzia kibosho road wanapotawanya ulezi wa mbege then nenda huko vijijini ukajionee na hata huru.Hhaa hao uliowaona walikua wazee au vijana tuanzie hapo
Siyo huru bana ni UruWachagga wa umri tofauti na ukitaka kuamini zaidi nenda tu kibosho,kwanza kuanzia kibosho road wanapotawanya ulezi wa mbege then nenda huko vijijini ukajionee na hata huru.
Mkuu umesoma mada yangu na kujua lengo? Ni wapi nimewasakama zaidi ya kuuliza source ya tatizo na solution?Siyo huru bana ni Uru
Hao uliokutana nao naamini kwa asilimia kubwa walikua ni wazee ila kwa vijana wengi wao hawana meno hayo mfano mdogo mimi nimeishi na kusoma moshi but sina hata jino moja lenye rangi ya njano
Na kwa saiv mji wa moshi wanapata maji safi ya kabisa tena matamu sana
Sehem iliyobaki na shida kidogo ni maeneo ya arusha tena baadhi
Btw mie siyo mchaga but haipendezi kusakama makabila ya watu siyo jambo jema mtachochea ukabila kwa maneno yenu hayoo
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Mkuu umesoma mada yangu na kujua lengo? Ni wapi nimewasakama zaidi ya kuuliza source ya tatizo na solution?
Hao wanaoandika za kutusema vibaya ni kwamba wanatuonea gere mtani,wanatamani kasi yetu ila husda haiwaachi.Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Watu wa kilimanjaro hawana meno yenye rangi. Labda wale wa wilaya ya Hai na Siha kwa baadhi ya sehemu. Waathirika wakuu wa meno yenye rangi ni R Chuga. Mtu ambae kazaliwa kule au kaishi kwa muda mrefu lazma meno yawe na rangi ile.Habarini Wadau,
Nimewahi kufika na kukaa kwa muda katika maeneo ya kibosho na huru kilimanjaro kwasababu za kikazi,nimeona asilimia kubwa ya wenyeji wa huko wana meno yenye rangi yaani isiyokuwa myeupe pee,na wengine meno yao yana utando mweusi.
Nimesikia mara kwa mara kuwa sababu ni wingi wa flouride katika maji wanayotumia,ila hata kuwa na utando mweusi ni sababu ya flouride au kuna sababu nyingine?
Pia ni nini suluhisho kwao waliokuwa tayari wana meno ya hivyo ukubwani?
Nawasilisha.
Hivi vyanzo vya maji yanatofautiana mkuuMbona wamasai wa huko simanjiro,lingido,manyara meno yao ni meupe kabisa mkuu?
Duu Wachaga tena..watani zangu kazi wanayo...sijawahi kuona inaisha wiki bila kuwa na post at least 3 zinazowahusu nyingi zikiwasema vibaya lakini ukweli mchungu ni kwamba ndio wameikamata nchi kupitia organ zote muhimu
Wachaga wezi sana sioi mwanamke wa kichaga mimi alafu hawana shape
Kiukweli vimeno vyao vina nikera sana hawa watu
Unataka solution wewe kama nani?? Wenyewe wanapenda hata yakiwa hivyoMkuu umesoma mada yangu na kujua lengo? Ni wapi nimewasakama zaidi ya kuuliza source ya tatizo na solution?